Uchambuzi kuhusu jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Katika mashambulizi yaliyofanywa juzi na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ambapo Wapalestina 15 waliuawa shahidi, zilichapishwa picha za uchungu huzuni za mwanamke na msichana mdogo wakiwaaga watu wa familia zao waliouliwa na jeshi la Israel, jambo ambalo limeumiza nyoyo na kuwatia watu simanzi na huzuni kubwa.
Habari ID: 3476989 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/11
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mbunge mmoja wa bunge la Marekani amesisitiza upya msukumo wa kuhakikisha kwamba misaada ya nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni Israel haichangii dhuluma dhidi ya Wapalestina, hasa watoto, huku wabunge wakiendelea kutoa wito wa kuwekwa masharti kuhusu usaidizi huo.
Habari ID: 3476972 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/07
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala katili wa Israel lilishambulia maeneo ya Lebanon na Palestina katika Ukanda wa Gaza mapema Ijumaa, kufuatia kuvurumishwa makombora ya kulipiza kisasi kutoka Gaza na Kusini mwa Lebanon kutokana na mashambulizi ya kinyama ya utawala huo dhidi ya waumini wa Kipalestina ndani ya Msikiti wa al-Aqsa katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3476825 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07
Kusambaratika Israel
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa utawala wa haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amelazimika kuakhirisha utekelezaji wa mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi ya mahakama' kufuatia maandamano ya Wazayuni dhidi ya mpango huo kwa wiki 12 mfululizo.
Habari ID: 3476772 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/28
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa hati ya kukamatwa Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na matamshi yake dhidi ya Palestina.
Habari ID: 3476739 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/21
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa idara ya uhusiano wa kimataifa katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) anasema kushindwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa katika kushughulikia jinai iliyotendwa hivi karibuni na utawala haramu wa Israel katika eneo la Huwara ni jambo ambalo litaupa kiburi utawala huo kuendeleza jinai zake.
Habari ID: 3476650 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesisitiza kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel zitajibiwa na wanamapambano shupavu wa Kipalestina na katu hazibakia hivi hivi bila ya majibu.
Habari ID: 3476625 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/25
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya watu nchini Jordan wanakataa kutambuliwa kwa utawala wa Israel na uhusiano nao, utafiti mpya unaonyesha.
Habari ID: 3476572 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mwanaume wa Kipalestina ameuawa shahidi na walowezi Wazayuni Waisraeli siku ya Jumamosi katika eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3476553 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Meya wa jiji la Uhispania la Barcelona ametangaza kusimamisha uhusiano na Tel Aviv kutokana na Israel kukiuka haki za watu wa Palestina kwa njia "iliyoratibiwa".
Habari ID: 3476542 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua Wapalestina arobaini na wawili wakiwemo watoto tisa tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
Habari ID: 3476540 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema utawala wa Israel "lazima uvunje mfumo wa ubaguzi wa rangi au apathaidi ambao unasababisha mateso na umwagaji damu mkubwa" katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3476502 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02
Matukio ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imefanikiwa kutwaa ndege isiyo na rubani ya kijasusi ya utawala haramu wa Israel iliyokuwa ikiruka katika anga ya Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3476496 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema zaidi ya Wapalestina milioni mbili huko Gaza (Ghaza) wanateseka kutokana na mzingiro wa miaka 16 wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3476492 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wamevamia kambi ya wakimbizi wa Palestina katika mji wa Jenin na kuwauwa shahidi Wapalestina 9.
Habari ID: 3476467 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Utawala ghasibu wa Israel unaripotiwa kupanga kujenga nyumba 18,000 zaidi vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala huo huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476462 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Makumi ya walowezi Waisraeli wamevamia eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, katika hatua nyingine ya uchochezi dhidi ya waumini Waislamu wa Kipalestina.
Habari ID: 3476433 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya nchi 90 zimeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel kuacha hatua za kuwaadhibu Wapalestina kufuatia ombi la Umoja wa Mataifa la kutaka maoni ya ushauri kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).
Habari ID: 3476415 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Wakfu la Jordan katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel limeonya kwamba utawala wa kibaguzi unaugeuza Msikiti wa Al-Aqsa kuwa eneo la kijeshi.
Habari ID: 3476325 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/29
Jinai za Isarel
TEHRAN (IQNA) - Takriban Wapalestina 74 waliokuwa wakishikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel wamekufa shahidi kutokana na kunyimwa huduma kiafya.
Habari ID: 3476287 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22