IQNA – Dar al-Ifta ya Misri imetoa fatwa mpya ya kidini inayoruhusu raia kuelekeza mali ya zakat kusaidia mahitaji ya msingi ya watu waliokoseshwa makazi huko Gaza.
                Habari ID: 3481373               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/10/15
            
                        
        
        IQNA-Vita vya Ghaza na jinai nyingine zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel zimekabiliwa na msururu wa mashinikizo ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni ambayo yameufanya utawala huo ghasibu kuwa taifa linalochukiwa na kukataliwa duniani.
                Habari ID: 3481334               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/10/05
            
                        
        
        IQNA – Hatua ya utawala wa Israeli kuzuia meli za Msafara wa Kimataifa wa Sumud imezua shutuma kali kutoka kwa serikali na mashirika ya kimataifa kote duniani.
                Habari ID: 3481315               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/10/02
            
                        
        
        IQNA – Harakati za mapambano ya ukombozi wa Wapalestina, Hamas na Jihad ya Kiislamu, zimetoa matamko ya kulaani hatua ya Marekani kutumia kura ya turufu au veto kuzuia kupitishwa kwa rasimu ya azimio la kusitisha vita Gaza, wakisema kuwa hatua hiyo inachochea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
                Habari ID: 3481253               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/09/19
            
                        
        
        IQNA – Akielezea unyama unaoendelea kufanywa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina, Mtaalamu Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu amesisitiza haja ya kukatisha mahusiano yote na Israel.
                Habari ID: 3481187               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/09/05
            
                        
        
        IQNA – Watu kutoka maeneo mbalimbali ya Yemen walifanya maandamano makubwa siku ya Ijumaa kulaani uhalifu wa Israeli dhidi ya Wapalestina na kitendo cha hivi karibuni cha kuchomwa motot nakala ya Qur’an Tukufu nchini Marekani.
                Habari ID: 3481160               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/08/30
            
                        
        
        IQNA-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa onyo kali Alhamisi katika Makao Makuu ya Unmoja wa Mataifa jijini New York  akilihimiza Baraza la Usalama na jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kuwalinda raia wa Gaza wanaokabiliwa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
                Habari ID: 3481151               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/08/29
            
                        
        
        IQNA- Mamlaka ya anga ya Israel imesitisha safari zote za ndege za kuwasili na kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion na kusema kuwa kituo hicho kitaendelea kufungwa "kwa muda usiojulikana" baada ya Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kufanya shambulio la kombora, kulipiza kisasi vita vya mauaji ya halaiki vinavyoendelea vya utawala wa Tel Aviv dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
                Habari ID: 3480912               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/07/07
            
                        
        
        IQNA-Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza kutekeleza wimbi la mashambulizi ya makombora dhidi ya utawala waKizayuni Israel, ili kulipiza kisasi kufuatia hujuma za utawala huo wa Kizayuni dhidi ya ardhi ya Iran.
                Habari ID: 3480831               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/06/14
            
                        
        
        IQNA – Kocha wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola, ameelezea kwa uchungu hali ya mateso ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akisema ni jambo linalomuumiza sana kila anapofikiria yanayoendelea katika eneo hilo.
                Habari ID: 3480823               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/06/11
            
                        
        
        IQNA – Wapalestina kote Ukanda wa Gaza wameswali Swala ya Idul Adha juu ya magofu ya misikiti iliyoharibiwa na vita vya kinyama vya utawala wa Israel dhidi ya eneo hilo.
                Habari ID: 3480799               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/06/07
            
                        
        
        IQNA-Ofisi ya Habari ya Serikali katika Gaza imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya mauaji mapya ya halaiki dhidi ya raia wa Kipalestina katika maeneo ya usambazaji wa misaada ya kibinadamu, ambayo yanajulikana kama “mitego ya kifo”, ambapo watu wasiopungua 30 wameuawa shahidi na zaidi ya 120 kujeruhiwa.
                Habari ID: 3480773               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/06/01
            
                        
        
        IQNA-Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa Linalowahudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amezitaka nchi za Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi kutenga tone tu la fedha zilizotajwa katika ‘makubaliano makubwa’ kati yao na Rais wa Marekani, Donald Trump, ili kusaidia wakimbizi wa Kipalestina wanaopambana kuendelea kuishi katika ardhi zao ambazo Israel imezikalia kwa mabavu  na pia wale wanaoishi katika nchi jirani.
                Habari ID: 3480762               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/05/30
            
                        
        
        IQNA-Shirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM) limeripoti kwamba zaidi ya Wapalestina 97,000 wamehamishwa Gaza katika kipindi cha siku nne pekee, huku mashambulizi ya Israeli yakizidi kuwa makali katika eneo hilo lenye mateso.
                Habari ID: 3480710               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/05/20
            
                        Spika wa Bunge la Iran katika Swala ya Ijumaa Indonesia
        
        IQNA-Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf, ametoa wito kwa Waislamu kuimarisha umoja na kuwa sauti ya watu wa Palestina walioko Ukanda wa Gaza, ambao wanakumbwa na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Israel.
                Habari ID: 3480692               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/05/16
            
                        Jinai za Israel
        
        IQNA-Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya ya Ghaza ametangaza leo Ijumaa kwamba ukanda huo ndilo eneo la mauaji ya umati ya kutisha zaidi katika siku za hivi karibuni kiasi kwamba Wapalestina 250 wameuliwa shahidi na Israel katika kipindi cha saa 36 zilizopita pekee.
                Habari ID: 3480690               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/05/16
            
                        
        
        IQNA – Watu wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu Tunis na miji mingine siku ya Ijumaa, wakitaka kuwekwa sheria ya kuzuia uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni. 
                Habari ID: 3480531               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/04/12
            
                        Jinai za Israel
        
        IQNA-Umoja wa Mataifa umesema wanawake na watoto wa Kipalestina ndio pekee waliouawa katika mashambulizi yapatayo 36 ya anga yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza tangu katikati ya mwezi Machi na kuonya kwamba mashambulizi ya kijeshi ya Israel yanahatarisha "kuendelea kuwepo Wapalestina kama jamii".
                Habari ID: 3480529               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/04/12
            
                        
        
        IQNA-Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed al-Khalili, amekosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
                Habari ID: 3480497               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/04/05
            
                        
        
        IQNA – Mashambulizi ya anga ya utawala katili wa Israel katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 100, wakiwemo 33 waliokuwa wakijisitiri katika shule.
                Habari ID: 3480492               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/04/04