Jinai za Israel
IQNA - Shambulio la anga la utawala haramu wa Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza limeripotiwa kuwaua watu 10 wa familia ya Khallah, wakiwemo watoto saba, kulingana na shirika la uokoaji la Ulinzi wa Raia wa Palestina.
Habari ID: 3479931 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21
Jinai za Israel
IQNA - Uchunguzi uliofanywa na kundi moja la kutetea haki za binadamu unaonyesha kuwa msikiti uliolengwa na wanajeshi wa Israel wakati wa sala ya alfajiri mwezi Novemba mwaka jana haukuwa na wanajeshi wakati wa shambulio hilo.
Habari ID: 3479926 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20
Jinai za Israel
IQNA – Mchambuzi mmoja wa kisiasa nchini Iran amesema waranti au hati za kukamatwa zilizotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya watenda jinai wawili wa Israel ni mabadiliko ya kihistoria katika uga wa kimataifa.
Habari ID: 3479798 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/24
Jinai za Israel
IQNA-Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa kibali cha kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na aliyekuwa waziri wake wa vita Yoav Gallant, wakituhumiwa kutenda jinai za vita.
Habari ID: 3479792 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/22
Jinai za Israel
IQNA - Madhara ya afya ya akili ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaweza kuonekana miongoni mwa watoto katika eneo lote hilo la Palestina.
Habari ID: 3479779 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/20
Jinai za Israel
IQNA-Marja' wa ngazi ya juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ameeleza masikitiko yake kuhusu kushindwa jamii ya kimataifa na taasisi husika katika kuzuia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479703 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Jinai za Israel
IQNA - Zaidi ya watoto 50 waliuawa mwishoni mwa juma lililotawaliwa na mashambulizi makali ya utawala haramu wa Israel kaskazini mwa Gaza, na kuwaweka wafanyakazi wa kibinadamu na raia katika hatari kubwa. Hayo ni kulingana na Mfuko wa Dharura wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF).
Habari ID: 3479701 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04
Jinai za Israel
IQNA - Ukatili wa utawala haramu wa Israel huko Gaza na Lebanon katika mwaka uliopita umesababisha kuundwa kwa muungano wa mataifa ya Kiislamu "kwa njia ambayo haikutarajiwa", amesema mwanazoni mwandamizi wa Iran.
Habari ID: 3479667 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29
Jinai za Israel
IQNA - Shambulio la anga la utawala katili wa Israel kwenye kambi ya hema katikati mwa Gaza mapema wiki hii lilisababisha moto na kuua Wapalestina kadhaa.
Habari ID: 3479602 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17
Watetezi wa Palestina
IQNA - Maonyesho ya vibonzo vinavyoonyesha vipengele tofauti vya jinai za utawala wa Israel yalizinduliwa katika mji mkuu wa Uturuki wa Ankara.
Habari ID: 3479566 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09
Jinai za Israel
IQNA – Ukweli kwamba utawala haramu wa Israel umeangamiza familia 902 katika Ukanda wa Gaza katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita ni ushahidi usiopingika wa dhamira ya utawala wa Israel kutekeleza mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3479549 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/06
Jinai za Israel
IQNA-Ndege za kivita za utawala ghasibu wa Israel zimefanya mashambulizi makali dhidi ya miji na vijiji vya Lebanon na kuua takriban watu 274.
Habari ID: 3479478 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23
Jinai za Israel
IQNA-Rais Gustavo Petro wa Colombia amelaani kimya kinachoonyeshwa kwa vita vya kinyama vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, na kusisitiza kwamba mauaji ya kimbari yanafanyika huko Palestina.
Habari ID: 3479474 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23
Jinai za Israel
IQNA - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alielezea kile kinachotokea katika Ukanda wa Gaza kuwa "hakikubaliki kabisa" baada ya wafanyakazi sita wa Umoja wa Mataifa kuuawa katika shambulio la anga la utawala haramu wa Israel kwenye shule katika eneo la Palestina.
Habari ID: 3479423 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/12
Jina za Israel
IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kisilamu ya Palestina, kwa kifupi Hamas, imesema leo Jumanne kwamba, Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni anawadanganya wafuasi wake na serikali ya Marekani anapodai kupata ushindi katika vita vya Ghaza kwani hajafanikisha lengo hata moja zaidi ya kuua kwa umati na kikatili watu wasio na hatia.
Habari ID: 3479373 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/03
IQNA-Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Israel usitishe mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukingo wa Magharibi ambayo yamepelekea Wapalestina wasiopungua 17 kuuawa shahidi.
Habari ID: 3479347 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/29
Jinai za Israel
IQNA - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema wote waliouawa katika shambulio la bomu la Israel katika shule moja katika mji wa Gaza walikuwa raia.
Habari ID: 3479263 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11
Jinai za Israel
IQNA - Kiongozi mkuu wa Kishia wa Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani ametoa wito wa mshikamano na umoja kati ya mataifa ya Kiislamu kuchukua hatua kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea katika Ukanda wa Gaza na kuwasaidia watu wake.
Habari ID: 3479262 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11
Jinai Israel
IQNA - Jeshi la Israel lilifanya mashambulizi ya anga dhidi ya shule moja katikati mwa Mji wa Gaza wakati Wapalestina waliokimbia makazi yao walipokuwa wakiswali alfajiri, na kuua takriban watu 100.
Habari ID: 3479256 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Jinai za Israel
IQNA – Utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukitumia maji kama silaha ya vita dhidi ya Wapalestina huko Gaza, ikionyesha kutojali maisha ya binadamu na kukiuka sheria za kimataifa.
Habari ID: 3479185 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26