iqna

IQNA

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa unasema mwaka 2022 unasalia kuwa mwaka mbaya zaidi kwa Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi tangu 2005, huku katika kipindi cha mwezi moja Wapalestina 19 wakiuawa shahidi katika mashambulizi ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3476264    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Afya ya Palestina imetoa ripoti yake na kusema kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshaua shahidi Wapalestina 205 katika sehemu mbalimbali za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
Habari ID: 3476181    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kwa mara nyingine tena kimeutaka ulimwengu uzingatia katika machungu na mateso ya taifa la Palestina na kukaliwa kwa mabavu ardhi sambamba na kulaani jinai za umwagaji damu zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi Wapalestina.
Habari ID: 3476177    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mashirika 198 ya Palestina na kimataifa yameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza jinai za utawala wa kikoloni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3476164    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua shahidi msichana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 19 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476089    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia makazi ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina sita.
Habari ID: 3475989    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/25

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- NMratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo Yanayokaliwa kwa Mabavu ametangaza katika ripoti yake kwamba mwaka huu wa 2022 ulikuwa mwaka wa umwagaji damu zaidi katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka 16 iliyopita.
Habari ID: 3475973    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/22

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina katika Mji Mkongwe wa al-Quds (Jerusalem) na kujeruhi takriban 21 kati yao wakiwemo watoto.
Habari ID: 3475819    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, utawala ghasibu wa Israel umebomoa majengo 44 ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo ikiwa ni muendelezo wa siasa zake za unyakuzi wa ardhi za Palestinakinyume cha sheria.
Habari ID: 3475803    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Septemba 16, inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 40 ya uhalifu wa Sabra na Shatila.
Habari ID: 3475794    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475782    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wamarekani wamefanya maandamano katika baadhi ya miji ya nchi hiyo wakilaani jinai na hatua za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina na hatua ya mashirika makubwa ya Google and Amazon kuunga mkono utawala huo.
Habari ID: 3475755    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amezungumzia ripoti ya jeshi la utawala wa Kizayuni baada ya utawala huo katili kumuua shahidi mwandishi Mpalestina, Shireen Abu Akleh na sawa na Wapalestina wote, ametaka utawala huo dhalimu upewe adhabu kali.
Habari ID: 3475745    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi.
Habari ID: 3475718    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Vikosi vya kijeshi vya utawala haramu wa Israel vimemuua Mpalestina mmoja katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan alipokuwa akitoka msikitini kuelekea nyumbani kwake baada ya Sala ya Alfajiri
Habari ID: 3475648    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Jihad Islami (Jihadi ya Kiislamu) ya Palestina imelaani vikali jinai ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umewaua vijana wawili Wapalestina na kusema ukatili kama huo hauwezi kuvuruga azma ya Wapalestina kupigiania ukombozi wao.
Habari ID: 3475533    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/24

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kundi moja la kutetea haki za binadamu limeutaka Umoja wa Mataifa kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe sera za kutumia mabavu ambayo hupelekea idadi kubwa ya Wapalestina kupoteza maisha.
Habari ID: 3475503    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/14