iqna

IQNA

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Vikosi vya wanamaji vya jeshi la utawala katili wa Israel vimewajeruhi takriban wavuvi wawili wa Kipalestina baada ya kushambulia boti kadhaa katika pwani ya kaskazini ya Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
Habari ID: 3477674    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mauaji ya Wapalestina wa Sabra na Shatila yaliyofanywa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameandika ujumbe usemao: Sabra na Shatila daima litabaki kuwa doa la aibu kwenye vipaji vya waungaji mkono wa utawala wa Israel na watetezi wa kizandiki wa haki za binadamu hususan Marekani na Uingereza.
Habari ID: 3477606    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-- Meja Jenerali mstaafu wa Israel ameonya juu ya uwezekano wa kuangamia jeshi la utawala huo haramu iwapo litajitosa katika vita vipya.
Habari ID: 3477533    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Mpalestina aliyekuwa na umri wa miaka 20 amefariki dunia kutokana na majeraha mwezi mmoja baada ya kupigwa risasi na askari katili wa utawala haramu wa Israel waliokuwa wakishamulia eneo moja la Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477504    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/27

Jinai za Israel
Al- AQSA (IQNA)- Kijana wa Kipalestina ameaga dunia kutokana na majeraha ya risasi aliyopigwa na wanajeshi wa utawala haramu Israel miaka miwili iliyopita wakati wa uvamizi wa kikatili wa Israel kwenye Msikiti wa al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3477459    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/19

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Takriban majengo 56 yanayomilikiwa na Wapalestina, zikiwemo nyumba sita, katika jiji la al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na eneo C la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimebomolewa au kutekwa na utawala ghasibu wa Israel katika muda wa wiki mbili.
Habari ID: 3477451    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/17

Jinai za Israel
Al-AQSA (IQNA)- Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali tena wameuvamia na kuuvunjia heshima msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israen huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477435    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/14

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA)- Ripoti ya Umoja wa Mataifa imebaini kuwa na vikosi vya kijeshi vya utawala haramu wa Israel vilibomoa majengo 54 yanayomilikiwa na Wapalestina huko Al-Quds (Jerusalem) Mashariki katika tarafa kubwa zaidi ya eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu mwezi Julai.
Habari ID: 3477353    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/29

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya matukufu ya Kikristo na makanisa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni
Habari ID: 3477330    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/24

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Wapalestina walishambuliwa na walowezi wa Kizayuni kwenye barabara na makutano kadhaa katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477299    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/18

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) – Wataalamu wa sheria wamebaini kuwa sheria za Mkataba wa Geneva kuhusu uhalifu wa kivita zilikiukwa katika shambulio la mauaji la jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin katika sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477286    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/15

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Idadi ya vifo vya Wapalestina imepita 200 mwaka huu kutokana na mashambulizi ya vikosi vya utawala dhalimu wa Israel, jambo linaloashiria mwaka wa vurugu zaidi kuwahi kushuhudiwa katika Ukingo wa Magharibi katika miongo kadhaa.
Habari ID: 3477282    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/14

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Makundi ya muqawama yamewapongeza wananchi wa Palestina kwa kupata ushindi mkubwa wa kufanikiwa kuzima uvamizi na mashambulizi ya jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3477247    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/06

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Jeshi la utawala wa Kizayuni usiku wa kuamkia Jumatatu lilianzisha mashambulio makubwa dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin ya Wapalestina. Magari 150 ya kijeshi na askari 1000 wa majeshi ya polisi, magenge ya kijasusi ya Kizayuni na polisi wa mpakani wa Israel wameshiriki kwenye uvamizi huo.
Habari ID: 3477241    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/05

Jinai za Israel
JENIN (IQNA)- Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi ya kinyama ya anga kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na kuua shahidi Wapalestina wasiopungua wanane na kujeruhi makumi kadhaa.
Habari ID: 3477233    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/03

Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umelaani kudhalilishwa kwa Qur'ani Tukufu na waenezaji wa Kizayuni, na kueleza kuwa ni ukatili na fedheha.
Habari ID: 3477191    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/25

Kamera za usalama zimemnasa mlowezi wa Kiisraeli akiwa na mbwa akirarua kurasa za Qur’ani Tukufu na kuzitupa chini nje ya msikiti mmoja katika kijiji cha Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477182    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/24

Uchambuzi kuhusu jinai za Israel
Mashirika mia moja ya Kimarekani yameanzisha mpango uliopewa jina la "Jamii Zisizo na Ubaguzi wa Rangi" kwa lengo la kusitisha uungaji mkono wa nchi yao kwa utawala wa kibaguzi wa Israel.
Habari ID: 3477135    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/11

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Utawala wa Israel umeripotiwa kuteka eneo la kihistoria la Wapalestina la Nebi Samuel, lililoko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto unaoukalia kwa mabavu na makazi ya kanisa, msikiti na sinagogi, chini ya kisingizio "mbuga ya kitaifa".
Habari ID: 3477080    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na nchi za Kiislamu zimelaani hujuma iliyofanywa na Wazayuni wakiongozwa na mawaziri na wabunge kadhaa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika kile kilichopewa jina la "siku ya bendera".
Habari ID: 3477016    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/19