iqna

IQNA

kanada
Chuki dhidi ya Waislamu
IQNA-Nchini Kanada mtu mwenye misimamo mikali kuwa wazungu ndio watu bora zaidi duniani aliyewaua watu wanne wa familia ya Kiislamu amepatikana na hatia ya ugaidi.
Habari ID: 3478399    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23

Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Cambridge nchini Kanada kimeungwa mkono na jamii na viongozi wa kisiasa baada ya kupatikana kwa maandishi yenye motisha ya chuki kwenye kuta za jengo lake siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3478362    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Waislamu Kanada
IQNA - Msikiti wa Kituo cha Kiislamu cha Toronto, Kanada (Canada) mahali pa ibada na jumuiya ya Waislamu wengi katikati mwa jiji hilo, uko katika hatari ya kupoteza mali yake ikiwa hauwezi kukusanya pesa za kutosha kununua.
Habari ID: 3478114    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/30

Waislamu Kanada
OTTAWA (IQNA) - Jumuiya ya Waislamu huko Chatham-Kent, ambayo ina mamia ya watu, inataka kuwa na makaburi ambapo wanaweza kuzika wapendwa wao kulingana na imani yao.
Habari ID: 3477974    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02

Chuki dhidi ya Uislamu
OTTAWA (IQNA) - Mwanaharakati wa Kiislamu wa Kanada (Canada) alielezea kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu na ukandamizaji Waislamu nchini humo katika wiki za hivi karibuni kuwa haujawahi kutokea.
Habari ID: 3477894    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15

Waislamu Kanada
OTTAWA (IQNA) – Shirika moja la Kiislamu nchini Kanada (Canada) limelaani matamshi ya "uchochezi" na "mgawanyiko" yaliyotolewa na wanasiasa wa Kanada, ikiwa ni pamoja na Waziri Mkuu Justin Trudeau, dhidi ya matakwa ya haki ya watu wanaopinga mtaala wa itikadi ya kijinsia shuleni ambao lengo lake na kupotosha watoto kimaadili na kifamilia.
Habari ID: 3477655    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Mwanamume mmoja wa Kanada aliyekuwa na msukumo wa fikra za misimamo mikali za kibaguzi za kizungu alitumia gari lake la mizigo kulenga kwa makusudi familiaya Kiislamu kwa na kusababisha vifo vya watu wanne.
Habari ID: 3477589    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/12

TORONTO (IQNA) – Mwanamke Mwislamu anayevaa hijabu aliteuliwa na meya mpya aliyechaguliwa wa Toronto, Kanada Oliva Chow kama Naibu Meya wa eneo la kusini mwa jiji.
Habari ID: 3477427    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/13

Hali ya Waislamu duniani
Waislamu nchini Kanada wamelalamikia marufuku ya kusali iliyowekwa katika shule za serikali jimboni Quebec.
Habari ID: 3477029    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/22

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Mashambulizi mengi dhidi ya Waislamu yameripotiwa karibu na Toronto nchini Kanada (Canada) huku polisi wakikamata watu baada ya uchunguzi.
Habari ID: 3477015    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/19

Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) - Shirika moja la Waislamu wa Kanada (Canada) limelaani hatua ya polisi wa Edmonton ya kumkamata kwa mabavu na vurugu Mwislam mwenye asili ya Afrika wiki iliyopita.
Habari ID: 3476926    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/28

Idul Fitr
TEHRAN (IQNA) - Kwa watoto katika jamii ya Waislamu wa eneo la St. John nchini Kanada, Jumamosi ilikuwa siku ambayo walijumuika pamoja baada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476904    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/23

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Biashara wa Kanada, Mary Ng amelaani shambulio la chuki dhidi ya Uislamu lililolenga msikiti mmoja eneo la Markham, Ontario wakati mtu mmoja alipovunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu na kujaribu kuwashambulia waumini kwa gari.
Habari ID: 3476842    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/10

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu katika eneo la Cambridge nchini Kanada (Canada) wanasema wameingiwa na hofu tangu msikiti wao ulipohujumiwa na kuharibiwa wiki iliyopita.
Habari ID: 3476653    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03

Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Waislamu wa Kanada (MAC) itaandaa mashindano yake ya 20 ya Qur'ani Tukufu Januari Mosi 2023.
Habari ID: 3476337    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31

Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji wa Okotoks nchini Kanada sasa wana nafasi ya Sala ya Ijumaa kufuatia ushirikiano na kanisa moja la mji huo.
Habari ID: 3476316    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27

Waislamu wa Kanada
TEHRAN (IQNA) - Wanachama wa Taasisi ya Misaada ya Kiislamu Kanada wametayarisha mamia ya vifurishi vya misaada maalumu ya majira ya baridi kali kwa ajili ya watu wasio na makazi wa Metro Vancouver siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476267    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/18

Ubaguzi wa rangi
TEHRAN (IQNA)- Utafiti wa Chuo Kikuu cha Rice unaonyesha kuwa Waislamu wenye asili ya Afrika nchini Marekani wanakabiliwa na utumiaji mabavu na unyanyasaji mara tano zaidi yaw engine kutoka kwa polisi nchini humo.
Habari ID: 3475677    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25

Jinai za Kanisa
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Kanada (Canada) na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
Habari ID: 3475545    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27