IQNA – Akieleza sababu za kukataa uhamisho wa mchezaji kwenda klabu ya soka ya Israel ya Maccabi Tel Aviv, mmiliki wa klabu ya soka ya Poland ya Pogon Szczecin ametolea mfano wa Ujerumani ya enzi za utawala wa Nazi.
Habari ID: 3482329 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/06
Kususia Israel
TEHRAN-(IQNA) - Wizara ya Biashara na Mauzo ya Nje ya Tunisia imekanusha ripoti zilizochapishwa kuhusu kuwepo kwa mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi hii na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475681 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25