IQNA-Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesisitiza kuwa maadui, kupitia vitisho vya moja kwa moja vya kijeshi na maonyesho ya nguvu za manowari zao katika eneo, walilenga kuvunja azma ya wananchi wa Iran. Lengo lao lilikuwa kusababisha kupooza kwa uchambuzi wa kisiasa, kuvuruga mizani ya mahesabu ya kijamii miongoni mwa wananchi, na kuchochea hali ya kutoridhika.
Habari ID: 3481930 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/13
Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran amegusia mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA, na kuziasa nchi za Ulaya kukumbatia fursa iliyopo ya kufidia na kusahihisha makosa yake mkabala wa mapatano hayo ya kimataifa.
Habari ID: 3475722 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/02