iqna

IQNA

mwezi
Sura za Qur'ani Tukufu /54
TEHRAN (IQNA) – Wanasayansi hawajapata sababu ya mpasuko unaoonekana katika mwezi lakini baadhi yao wanasema mpasuko huo ulijiri mamia ya miaka iliyopita.
Habari ID: 3476368    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07

TEHRAN (IQNA) - Kwa mara nyingine tena mbingu zimefunguka na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani uko nasi.
Habari ID: 3473811    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/13

TEHRAN (IQNA) - Leo Jumapili mamilioni ya watu katika mabara ya Afrika, Asia na Ulaya wameshuhudia moja ya tukio la jua kupatwa na mwezi .
Habari ID: 3472883    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/21

Baadhi ya nchi za Kiarabu zimetangaza tarehe 6 Juni kuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470361    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/06

Mufti wa Tunisia Sheikh Hamda Saeed amewaomba radhi Watunisia baada ya kubaini kuwa alifanya kosa kwa kutangaza mapema siku kuu ya Idul Ftir.
Habari ID: 3330378    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/20

Baraza la Fatwa Ulaya
Barani Ulaya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unatazamiwa kuanza Alkhamisi Juni 18. Tangazo hilo limetolewa na Baraza la Fatwa na Utafiti Ulaya (EFCR) kwa mujibu wa mahesabu ya kifalaki.
Habari ID: 3311365    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/06