TEHRAN (IQNA)-Mwanamke kutoka Uholanzi amesilimu katika Mkesha wa siku ya kukumbuka kuzaliwa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri Kwake), Imamu wa 12 wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3475049 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/18
TEHRAN (IQNA)- Maombolezo ya kukumbuka mwaka alipouawa shahidi Imam Ali bin Musa al Ridha AS, Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia duniani yamefanyika katika Husainia ya Imam Khomeini MA hapa mjini Tehran na kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3474392 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/07
Haram Takatifu ya Hadhrat Masouma (SA) katika mji wa Qum nchini Iran siku hizi ni mwenyeji wa mijimuiko ya maombolezo kwa mnasaba wa kukumbuka kuaga dunia Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi wakujuu wake, yaani Imam Hassan Mujtaba AS na Imam Ridha AS.
Habari ID: 3474388 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06
TEHRAN (IQNA)- Sherehe ya kukumbuka kuzaliwa Imam Ridha AS imefanyika nchini Kenya katika Kituo cha Kiislamu cha Jaafari mjini Nairobi kwa himaya ya Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Kenya.
Habari ID: 3474032 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/22
TEHRAN (IQNA)- Tuko katika kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ridha AS, mmoja kati ya Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474029 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/21
TEHRAN (IQNA)- Sherehe inayojulikana kama Naqqareh Zani imefanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha AS, katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran katika mkesha wa kukumbuka kuzaliwa Imamu huyo wa Nane wa Madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3474026 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/21
TEHRAN (IQNA)- Katika siku za mwisho za Mwezi wa Safar wa mwaka 1422 Hijria Qamaria, ambazo pia ni siku za kukumbuka kifo cha Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi Imam Hassan AS na Imam Ridha AS, Haram Takatifu ya Imam Ridha AS katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran iko katika mazingira ya majonzi na maombolezo.
Habari ID: 3473267 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/17
TEHRAN (IQNA) – Kama ilivyokuwa katika miaka iliyotangulia, Haram Takatifu ya Imam Ridha AS, Imam wa Nane wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia, imepambwa kwa munasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa mtukufu huyo.
Habari ID: 3472917 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01
TEHRAN (IQNA) - Maeneo matakatifu ya ibada na ziara katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza kufunguliwa baada ya kuwepo mafanikio makubwa katika kudhibiti ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472801 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/25
TEHRAN (IQNA)- Maulamaa na Waislamu wa matabaka mbali mbali wa madhehebu ya Sunni nchini Iran wameungana na wenzao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha AS , mmoja wa wajukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW ambaye pia ni Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia.
Habari ID: 3471732 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/07
TEHRAN (IQNA) Kwa munasaba wa Wiladat ya Imam Ridha AS, Msafara wa wahudumu wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS iliyoko mjini Mashhad nchini Iran wamefika Zanzibar nchini Tanzania na kukutana na Ulamaa wa Ahul Sunna.
Habari ID: 3471104 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05
TEHRAN (IQNA)-Katika siku za kukaribia Wiladat ya Imam Ridha AS, Msafara wa wahudumu wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS iliyoko nchini Iran wametembelea Tanzania na kukaribishwa kwa taadhima na wafuasi pamoja na muhibina wa Ahul Bayt AS nchini humo.
Habari ID: 3471100 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/03
IQNA-Mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran umezinduliwa rasmi kama Mji Mkuu wa Utamaduni katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470781 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04
Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha AS mmoja kati ya watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Mtukufu Muhammad SAW.
Habari ID: 3470706 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/30
Tarehe 11 Mfunguo Pili Dhil Qaada ni siku ya maadhimisho ya kuzaliwa Imam Ali bin Musa ar-Ridha AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470520 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14
Wanaharakati watatu katika nyuga za dini, elimu na uchapishaji wanatazamiwa kushiriki katika Tamasha la 14 la Kimataifa la mjukuu wa Mtume SAW, Imam Ridha AS.
Habari ID: 3470513 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/10
Tamasha la Kimataifa la mjukuu wa Mtume SAW, Imam Ridha AS, litafanyika nchini Iran na kushirikisha nchi 77 mwaka huu.
Habari ID: 3470491 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/03
Habari ID: 3470367 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08
Kongamano la Kimataifa la Kuwaenzi Wanawake Wanaoenza Utamaduni wa Imam Ridha AS limefanyika katika fremu ya Tamasha la 13 la Kimataifa la Imam Ridha AS katika Shirika la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu ICRO mjini Tehran, Jumapili Agosti 23.
Habari ID: 3351168 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/25