TEHRAN (IQNA)- Fainali za Mashindano ya 37 Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ziliendelea Jumapili ambapo majaji wakiwa Tehran na maeneo mengine duniani waliwasikiliza washiriki wakisoma Qur'ani kwa njia ya intaneti. Mashindano hayo yamefanyika kwa njia ya intaneti kutokana na janga la corona.
Habari ID: 3473718 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 37 Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ilianza Jumapili.
Habari ID: 3473715 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran imeanza Jumamosi Machi 6 katika sherehe iliyoudhuriwa na Mkuu wa Shirika la Iran la Wakfu na Misaada Hujjatul Islam wal Muslimin Mehdi Khamoushi.
Habari ID: 3473712 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran inaendelea ambapo kuna washiriki kutoka maeneo mbali mbali ya dunia.
Habari ID: 3473711 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani kwa ajili ya wanafunzi wa shule yatafanyika nchini Uganda katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3473705 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/05
TEHRAN (IQNA) – Kamati andalizi ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu imetangaza majina ya jopi la majaji katika mashindano hayo.
Habari ID: 3473698 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/03
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran yanalenga, kati ya mambo mengine, kustawisha umoja na mshikamano wa Kiislamu duniani kote.
Habari ID: 3473694 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/02
TEHRAN (IQNA) – Bango la Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu limezinduliwa wiki mbili kabla ya kuanza mashindano hayo.
Habari ID: 3473670 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/21
TEHRAN (IQNA)- Waliofika fainali katika Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran wametangazwa na kamati andalizi.
Habari ID: 3473593 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26
TEHRAN (IQNA) – Semi fainali ya kusoma Qur'ani Tukufu au qiraa katika Awamu ya 37 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran imemalizika leo Jumatano.
Habari ID: 3473576 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/20
Nusu fainali ya Awamu ya 37 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza Jumanne asubuhi mjini Tehran.
Habari ID: 3473573 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/20
TEHRAN (IQNA) – Nusu fainali ya Awamu ya 37 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza Jumanne asubuhi mjini Tehran.
Habari ID: 3473572 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/19
TEHRAN (IQNA)- Nusu fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran inaanza Jumanne Januari 19.
Habari ID: 3473568 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18
TEHRAN (IQNA) – Duru ya 14 ya Mashindano ya Qur’ani ya Dubai nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inaendelea katika mji huo.
Habari ID: 3473377 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/20
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Idara ya Masuala ya Qur’ani katika Shirika la Wakfu la Iran amesema mashindano ya kitaifa ya Qur’ani nchini Iran mwaka huu yatafanyika kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473207 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/27
TEHRAN (IQNA) – Mashauriano yanaendelea kuhusu uwezekano wa kufanyika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani ya Iran kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473151 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/09
TEHRAN (IQNA) – Watu 1,700 wamejisajili kushiriki katika Mashindano ya 30 ya Qur’ani Tukufu nchini Oman.
Habari ID: 3473046 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08
TEHRAN (IQNA) – Qarii kutoka Tanzania ameibuka mshindi katika mashindano ya kusoma Qur’ani (qiraa) ya Chuo Kikuu cha Al Qasimia cha Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3473023 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01
TEHRAN (IQNA) – Duru ya kwanza ya mashindano ya 43 ya Qur'ani Tukufu ya Tehran, mji mkuu wa Iran, imekamilika Julai 14.
Habari ID: 3472968 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/16
TEHRAN (IQNA) – Kamati andalizi ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran haijaafiki pendekezo la mashindano hayo kufanyika kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3472886 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/22