TEHRAN (IQNA) - Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Dubai (DIHQA) imetangaza kuanza kukubali maombi ya toleo la 5 la mashindano ya Qur'ani kwa wanawake.
Habari ID: 3474216 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/22
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Misri yatafanyika mwezi Disemba kama ilivyopangwa, amesema waziri wa wakfu nchini humo Sheikh Mokhtar Gomaa.
Habari ID: 3474151 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02
TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametoa wito kwa Waislamu kufuata mafundisho ya Qur’ani Tukufu ili kuweza kukabiliana na madola ya kibeberu.
Habari ID: 3474108 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/17
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Qur’ani ya Tawjih na Irshad ya Lebanon imetangaza washiriki 10 bora wa Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur’ani ya Oula-al-Qiblatain.
Habari ID: 3474106 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/16
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani ya wanafunzi yamefanyika hivi karibuni nchini Uganda.
Habari ID: 3474015 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/17
TEHRAN (IQNA)-Vijana ambao waliwakilisha Ghana katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yaliyoandaliwa Morocco na Taasisi ya Mfalme Mohammad VI ya Maulamaa Waafrika wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473997 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/11
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika hivi karibuni nchini Uganda wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473966 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31
TEHRAN (IQNA)- Qarii Mtanzania ameibuka mshindi katika duru ya nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Taasisi ya Kijiji cha Utamaduni (Katara) nchini Qatar.
Habari ID: 3473896 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/10
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Pakistan kimeandaa mashindano ya Qur'ani katika mji wa Peshawar kwa mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473859 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/29
TEHRAN (IQNA)- Mashindnao ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu yamefanyika Jumapili Aprili 25 katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam na kuvutia maelfu ya wakazi wa mji huo.
Habari ID: 3473851 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/26
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 24 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’ani ya Dubai wametangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473849 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/25
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Aisha Sururu yamefanyika nchini Tanzania.
Habari ID: 3473841 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/22
TEHRAN (IQNA)- Duru ya Tisa ya Mashindano ya Qur’ani kwa ajili ya walemavu imeanza Jumamosi mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3473828 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/18
TEHRAN (IQNA)- Washiriki 96 kutoka nchi mbali mbali wanashiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Kusoma Qur’ani (qiraa) ya Televisheni ya Al-Kawthar.
Habari ID: 3473825 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/18
TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Kijiji ya Utamaduni (Katara) nchini Qatar imetangaza harakati kadhaa za mitandaoni katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kama vile mashindano ya Qur'ani na maonyesho.
Habari ID: 3473815 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/15
TEHRAN (IQNA)- Majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Televisheni ya Al Kauthar ya Iran wametangazwa.
Habari ID: 3473802 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/11
TEHRAN (IQNA)- Zoezi la kuwasajili washiriki wa Awamu ya 14 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Televisheni ya Al Kauthar linaendelea.
Habari ID: 3473764 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/27
TEHRAN (IQNA) – Finali ya mwisho ya mashindano kitaifa ya Qur’ani Jordan imepangwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473748 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/19
TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya 37 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ambayo yamefanyika kwa njia ya intaneti yalimalizika Jumatano huku washindi wakitunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473727 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/11
TEHRAN (IQNA) – Usiku wa Jumanne ulikuwa wa nne katika fainali za mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3473723 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/10