mashindano ya qurani - Ukurasa 25

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Majaji wanaendelea kusikliza klipu zilizotumwa na washiriki wa awamu ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran.
Habari ID: 3474811   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15

TEHRAN (IQNA)- Duru ya Saba ya Mashindano ya Kimataifa ya Wanafunzi wa Shule itafanyika Iran kwa kushiriki wawakilishi wan chi 25.
Habari ID: 3474808   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15

TEHRAN (IQNA)- Duru ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran imeanza Jumatano na itaendelea kwa muda wa siku nne.
Habari ID: 3474804   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Algeria yatafanyika kwa njia ya intaneti, imetangaza Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini nchini humo.
Habari ID: 3474803   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat yatafanyika kwa njia ya intaneti ambapo washiriki watatakiwa kumuiga msomaji maarufu wa Qur'ani Marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3474797   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/12

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Shirika la Wakfu la Iran amesema kuna haja ya kuundwa taasisi ya kimataifa ya nchi zinazoandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3474791   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10

TEHRAN (IQNA)- Duru ya mwisho ya Mashindano ya 26 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu ya Jeshi la Polisi Iran yatafanyika katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3474785   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09

TEHRAN (IQNA) – Duru ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imepangwa kuanzia Januari 9 mjini Tehran.
Habari ID: 3474780   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/08

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 44 ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamemalizika Ijumaa mjini Tehran.
Habari ID: 3474720   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/25

TEHRAN (IQNA) - Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza Jumatatu mjini Tehran.
Habari ID: 3474705   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza Jumatatu mjini Tehran.
Habari ID: 3474704   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Jimbo la Port Said nchini Misri wametangaza mpango wa kuandaa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Port Said mwakani.
Habari ID: 3474685   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17

TEHRAN (IQNA)- Rais Abdul Fattah el-Sisi wa Misri ametaka kipaumbele maalumu kipewe kwa tafsiri na ufahamu wa Qur’ani katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3474676   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Zahra Khalili, msichana mwenye ulemavu wa macho katika mji mkuu wa Iran, Tehran ni miongoni mwa wawakilishi wanne wa Iran katika mashindano yajayo ya Qur’ani ya kimataifa ya wanafunzi Waislamu.
Habari ID: 3474623   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wametangazwa.
Habari ID: 3474613   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA)- Iran imetangaza kubuni timu ya makundi manne kushiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qurani ya wanafunzi.
Habari ID: 3474595   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/24

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi takribani 50 wametangaza kuwa tayari kushiriki katika Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3474566   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya watoto Wapalestina yameanza Jumatano katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3474543   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11

TEHRAN (IQNA)- Matayarisho ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani yameanza huku nchi kadhaa zikiwa tayaris zimeshatangaza kuwa tayari kushiriki.
Habari ID: 3474490   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30

TEHRAN (IQNA) - Kina mama wa Kiislamu wametakiwa kuongeza juhudi katika kutimiza jukumu la kuandaa watoto wao kutokana na kukithiri kwa mmomonyoko wa maadili, kwani watoto wema na bora wanaanza na wazazi bora hasa kina mama.
Habari ID: 3474459   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23