TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu na historia, Muhammad (SAW) ndiye mjumbe wa mwisho wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477593 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/13
Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /47
TEHRAN (IQNA) – Mitume wa Mwenyezi Mungu, walipokabiliana na makundi mbalimbali ya watu waliokuwa na mashaka juu ya utume wao, walifanya mambo ya ajabu sana yaitwayo miujiza.
Habari ID: 3477584 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11
Mtazamo
TEHRAN (IQNA) – Neno “mjumbe” (Rasul) maana yake ni mtu anayeleta ujumbe na kuukabidhi kwa wengine. Jambo la muhimu kuhusu mjumbe huyu ni nani aliyemtuma, sio alicholeta. Utakatifu wa Mtume Muhammad (SAW) ni kwa sababu alitumwa na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477046 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/26
Ibadah ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa takwimu, zaidi ya Waislamu milioni tatu wameswali katika Rawdah Tukufu kwenye Msikiti wa Mtume (SAW), Al-Masjid an-Nabawi , mjini Madina katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3476067 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10
Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika mji wa Uturuki wa Istanbul imeandaa sherehe za Milad-Un-Nabi za kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3475897 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08
Mtume Muhammad SAW amesema: Waislamu wote ni ndugu na hakuna aliye bora zaidi ya mwingine ila katika Taqwa (Ucha Mungu). Kanz al-Ummal, Jildi 1, Uk 149. Nahjul Fasaha 3112
Habari ID: 3472209 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/11
Habari ID: 3470290 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04