iqna

IQNA

IQNA – Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa wito wa kuziba pengo kati ya maarifa ya Qur'ani na utekelezaji wake katika jamii.
Habari ID: 3480387    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/17

IQNA – Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalimalizika jana usiku baada ya kudumu kwa siku 12, ambapo waandaaji walisisitiza mafanikio yake katika kukuza utambulisho wa kidini na kuonyesha mafanikio ya Quran.
Habari ID: 3480386    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/17

IQNA – Profesa wa Italia amesifu Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kwa kuimarisha uhusiano kati ya Waislamu, akisisitiza jukumu lake katika kuimarisha mshikamano wa kimataifa na kuwezesha kubadilishana maarifa.
Habari ID: 3480363    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/13

IQNA – Sehemu ya mavazi ya Kiislamu ya Iran inawakaribisha wageni katika Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'an Tukufu ya Tehran yanayofanyika Machi 5 hadi 17.
Habari ID: 3480360    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12

IQNA – Nakala ya Qur'ani ya kipekee iliyoandikwa kwa mkono na Wafanyaziara wa Arbaeen inaonyeshwa katika banda la Haram ya Hadhrat Abbas (AS) kwenye Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3480359    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12

Mtazamo
IQNA – Aya ya 32 ya Surah Al-Ma’idah ya Qur’ani Tukufu inasisitiza kanuni ya maadili ya utakatifu wa maisha ya binadamu, amesema msomi wa Afrika.
Habari ID: 3480351    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/11

IQNA – Waislamu wanapaswa kutekeleza mafundisho ya Qur'an kivitendo na si tu kuonyesha kidahiri kuwa wanakipenda Kitabu hicho Kitukufu, amesema msomi mmoja wa Yemen.
Habari ID: 3480341    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10

IQNA – Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Tehran yanawavutia wengi kutokana na uwepo wa harakati mbali mbali na hivyo yanahamasiha mawazo mapya.
Habari ID: 3480328    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08

IQNA –Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yameanza kupokea wageni baada ya sherehe rasmi ya ufunguzi.
Habari ID: 3480314    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/06

IQNA – Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani jijini Tehran yataangazia ushiriki wa familia na vijana, yakionyesha mafanikio ya Qur'ani nchini Iran, amebaini mkuu wa tukio hilo.
Habari ID: 3480303    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/04

IQNA – Baraza la Kisayansi la Qur’ani la Idara ya Mfawidhi wa kaburi takatifu la Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, litashiriki katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qurani ya Tehran ya 32.
Habari ID: 3480294    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03

IQNA – Utangulizi na ufafanuzi wa mawazo ya Qur’ani ya viongozi wawili wa Mapinduzi ya Kiislamu, pamoja na mantiki ya Qur’ani katika Muqawama au Mapambano ya Kiislamu ni maudhui ambazo zimepewa kipaumbele katika ajenda maalum ya sehemu ya kimataifa ya toleo la mwaka huu la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3480286    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mohammad Mehdi Aziz-Zadeh ameteuliwa kuwa mkuu wa sekretarieti ya kudumu ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3476505    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02