madina - Ukurasa 4

IQNA

Tarehe 25 Shawwal miaka 1287 iliyopita Imam Jafar Sadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW aliuawa shahidi. Alizaliwa tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul na kipindi chake cha Uimamu kilianza mwaka 114 Hijria.
Habari ID: 1441613   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/21

Idara inayosimamia masuala ya Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume (saw) mjini Madina imegawa nakala milioni moja za tarjumi za Qur'ani kwa lugha 41 katika Masjidul Haram kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1426540   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06