Kadhia ya Palestina
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Masoud Pezeshkian amesisitiza kuwa, Iran itawafanya magaidi maghasibu kujutia kitendo chao cha uoga cha kumuua kiongozi wa Hamas Ismail Haniya.
Habari ID: 3479208 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31
Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu baada ya kuuawa shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Tawi la Kisiasa la HAMAS akisisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umejiandalia uwanja wa kuadhibiwa vikali.
Habari ID: 3479207 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31
Taarifa
IQNA-Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ametoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) na kueleza kwamba, hapana shaka kuwa, damu ya mujahidi huyo haitapotea bure.
Habari ID: 3479206 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31
IQNA - Katika hali ya kuanza kwa mwezi wa Hijri wa Muharram, Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania wameanza kuandaa ibada za maombolezo ya kuadhimisha kuuawa shahidi Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479096 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/09
IQNA - Warsha ya kuandaa kaburi (haram) la Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, imekuwa ikiendelea kwa kutayarisha bendera nyeusi na mabango kabla ya mwezi wa Hijri wa Muharam.
Habari ID: 3479081 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
Qur'ani Tukufu Inasemaje/43
TEHRAN (IQNA) – Kuwa hai lakini kukosa matumaini, kutoridhika samamba na kuwa na machungu hakupendelewi na mtu yeyote. Kwa maneno mengine, maisha haimaanishi kuwa hai tu bali yanapaswa kuwa na furaha na kuridhika. Na Qur’ani Tukufu inazungumza kuhusu wale ambao hawafi kamwe.
Habari ID: 3476373 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08
TEHRAN (IQNA)-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema maadui wa mfumo mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi na kumuua shahidi mmoja kati ya askari wa IRGC.
Habari ID: 3475283 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), ndiye shakhsia mkubwa zaidi si tu ndani ya Iran, bali katika Umma wote wa Kiislamu.
Habari ID: 3474753 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01
TEHRAN (IQNA)- Ikiwa imesalia siku chache kabla ya kumbukumbu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Solemani, mchoro mkubwa wa kamanda huyo na wanajihadi wenzake waliouawa shahidi umepandisha katika barabara kuu inayolekea uwanja wa ndege wa Beirut nchini Lebanon.
Habari ID: 3474725 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/26
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel wamemuua Mpalestina aliyekuwa katika maandamani ya amani ya kupinda ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474342 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25
TEHRAN (IQNA)- Kijana Mpalestina ameuawa shahidi Ijumaa baada ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamejitokeza katika maandamano ya amani kupinga ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473998 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wameandaa khitma kwa mnasaba wa kuwadia mwaka moja tokea auawe shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3473528 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/05
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amegusia namna rais wa Marekani Donald Trump alivyotoa amri ya kuuliwa kiwogawoga, Shahidi Qassem Soleimani, na kusema kuwa, shambulio hilo la anga linaonesha uchochole wa kupindukia wa Donald Trump ambaye ameshindwa kupambana na shujaa huyo katika medani ya mapambano na badala yake alimvizia kiwogawoga uraiani na kumuua.
Habari ID: 3473523 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la kitaalamu la "Vyombo vya Habari na Njia ya Fikra ya Suleimani" lililofanyika leo katika Ukumbi wa Makongamano ya Kimataifa wa IRIB hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3473520 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03
TEHRAN (IQNA) - kitabu cha maisha ya Shahidi Qassem Soleimani, alichoandika yeye mwenyewe kiitwacho "Nilikuwa Sihofu Chochote" kimezinduliwa leo.
Habari ID: 3473519 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amekwenda katika Msikiti wa Imam Husain AS hapa Tehran na kuusomea Faatiha mwili mtoharifu wa shahid Mohsen Hojaji, aliyeuliwa shahidi na magaidi wa Daesh au ISIS wakati akilinda Haram ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Bibi Zaynab al Kubra AS nchini Syria.
Habari ID: 3471195 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/27
TEHRAN (IQNA)-Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa katika oparesheni dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
Habari ID: 3471066 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14
TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Utawala haramu wa Israel limeua shahidi watoto zaidi ya 3,000 Wapalestina tangu ulipoanza mwamako wa pili wa Wapalestina maarufu kama Intifadha mwezi Septemba 2000.
Habari ID: 3471004 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/02
IQNA- Siku kama ya leo mwaka moja uliopita, utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ulimuua kikatili mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Nimr Baqir al Nimr.
Habari ID: 3470774 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02
Tuko katika siku hizi za kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470608 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/12