IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Ijumaa iliandaa hafla ya Khitma ya Shahidi Ismail Haniya, kiongozi wa kisiasa wa Hamas ambaye aliuawa katika hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel jijini Tehran hivi karibuni. Khitma hiyo iimefanyika katika Ukumbi wa Swala (Mosalla) wa Imam Khomeini (RA) mjini Tehran baada ya Swala za Maghribi na Ishaa,
Habari ID: 3479254 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Muqawama
IQNA – Utawala dhalimu wa Israel umetangaza marufuku ya miezi sita kwa Sheikh Ekrema Sabri, Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa ambapo katika muda huo atazuiwa kuingia katika msikiti huo mtakatifu ulio katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3479248 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09
Muqawama
IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na hayati Ismail Haniya.
Habari ID: 3479247 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Kadhia ya Palestina
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeamua kuitisha kikao dha dharura mjini Jeddah, Saudi Arabia wakati huu ambapo Iran na kambi ya muqawama inajiandaa kutoa majibu makali kwa Israel kutokana na vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479245 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Shahidi Haniya
IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imeaandaa khitma ya Qur'ani ya ya mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas aliyeuawa shahidi .
Habari ID: 3479243 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08
Muqawama
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Ismail Haniyah.
Habari ID: 3479240 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/07
Muqawama
IQNA Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayed Hassan Nasrallah amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unaiomba Marekani kuulinda kwani mashambulizi ya Iran na Hizbullah ya kulipiza kisasi mauaji ya hivi karibuni ya utawala huo yanakaribia.
Habari ID: 3479239 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/07
Kadhia ya Palestina
IQNA - Vikosi vya usalama vya Saudi Arabia vimeripotiwa kumkamata profesa wa chuo kikuu kimoja cha Iraq katika mji mtakatifu wa Makka kwa kosa la kutoa kumuomboea dua kiongozi wa Palestina Ismail Haniya aliyeuawa shahidi wiki iliyopita katika hujuma ya kigaidi ya Israel
Habari ID: 3479234 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/06
Kadhia ya Palestina
IQNA-Nasser Kan'ani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, ametoa wito kwa serikali za Kiislamu kuunga mkono haki za Wapalestina kwa ufanisi zaidi.
Habari ID: 3479233 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/05
Muqawama
IQNA - Sherehe ilifanyika katika mji wa Ta'iz, Yemen, kuadhimisha kuhitimu kwa wanafunzi 721 wa Qur'ani.
Habari ID: 3479232 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/05
Muqawama
IQNA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, majibu makali na ya kiakili ya Jamhuri ya Kiislamu kwa utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel kuhusiana na mauaji ya shahidi Ismail Haniya yataleta furaha kwa watu wa Iran na vikosi vya muqawama na wapiganiia uhuru wa dunia.
Habari ID: 3479229 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04
Muqawama
IQNA- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa taarifa nambari tatu inayoeleza na kubainisha jinsi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, alivyouawa hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3479225 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03
Muqawama
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa kwa kutuma salamu za rambirambi kutokana na mauaji yaliyofanywa na utawala huo dhalimu dhidi ya Shahidi Ismail Haniya.
Habari ID: 3479223 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03
Muqawama
IQNA- Maelfu ya watu wamekusanyika Ijumaa katika msikiti mmoja huko Doha kutoa heshima zao kwa kiongozi wa kisiasa wa Hamas, shahidi Ismail Haniya..
Habari ID: 3479218 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03
Muqawama
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amelaani mauaji ya utawala wa Israel dhidi ya Ismail Haniya, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Hamas.
Habari ID: 3479217 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02
IQNA - Makumi ya maelfu ya watu walihudhuria msafaraa mazishi ya Shahidi Ismail Haniya mjini Tehran tarehe 1 Agosti 2024.
Habari ID: 3479213 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02
Muqawama
IQNA-Shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) alikuwa mwanamapambano ambaye alijitolea maisha yake yote katika kuendesha mapambano dhidi ya maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3479212 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02
Muqawama
IQNA- Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, katika kipindi cha miaka yote hii, wakuu wa Kambi ya Muqawama wamethibitisha kwamba, jinai zinazofanywa na maadui haziwatetereshi hata kidogo, bali zinaongeza tu ari na moyo wao wa Jihadi na Muqawama.
Habari ID: 3479211 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02
Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, katika kambi ya muqawama, wakuu na makamanda wa kambi hiyo hawajifichi bali wako katikati ya medani ya mapambano na wanakufa shahidi kwenye medani hiyo.
Habari ID: 3479210 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02
Taazia
IQNA-Mapema leo Alkhamisi asubuhi, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesalisha umati mkubwa wa Waislamu waliojitokeza katika Sala ya Maiti ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS Ismail Haniya na mlinzi wake. Sala hiyo ya Maiti imesaliwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tehran.
Habari ID: 3479209 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/01