iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: Mapambano (muqawama) ya Palestina yamevuruga mahesabu ya adui na kubadilisha mlingano wa nguvu.
Habari ID: 3471742    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo msimamo wa daima wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuiunga mkono kikamilifu Palestina na wapiga jihadi wake na kusema kuwa, tiba ya kadhia ya Palestina ni kuimarisha mrengo wa mapambano na muqawama katika Ulimwengu wa Kiislamu na kuzidisha mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na waungaji mkono wake.
Habari ID: 3471454    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/05

TEHRAN (IQNA) Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amemuandikia barua Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akishukuru na kupongeza sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu Quds Tukufu.
Habari ID: 3471361    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/19

TEHRAN (IQNA)-Mkuu wa masuala ya kigeni wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, harakati hiyo ina hamu ya kustawisha uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga zote.
Habari ID: 3471229    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/24

Harakati za Kiislamu Palestina
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, na Harakati ya Palestina ya Jihad Islami zimelaani matamshi ya mwanamfalme wa Saudia katika kikao cha munafikina huko Paris.
Habari ID: 3470447    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/11

Waziri mmoja katika utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka viongozi wa ngazi za juu wa Hamas watekwe nyara.
Habari ID: 3470439    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08

Machafuko yameibuka leo Jumapili katika Msikiti wa Al Aqsa, eneo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu, mjini Quds (Jerusalem) siku mbili tu baada ya mtoto mchanga Mpalestina kuchomwa moto na kuuawa na walowezi wa Kiyahudi.
Habari ID: 3338073    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/02

Imam Khamenei
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumanne mjini Tehran ameonana na maulamaa, wanavyuoni, wasomi na wageni walioshiriki kwenye Kongamano la Kimataifa la Mirengo ya Kitakfiri kwa Mtazamo wa Maulamaa wa Kiislamu na kulitaja suala la kuzuka upya makundi ya kitakfiri katika miaka ya hivi karibuni kuwa ni tatizo lililopandikizwa na mabeberu katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 2612034    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/26

Utawala haramu wa Kizayuni, kwa mara ya kwanza leo Ijumaa alfajiri umefungua milango ya Msikiti wa al-Aqsa baada ya kuifunga mwaka 1967. Utawala huo pia umeshadidisha ulinzi katika maeneo ya jirani na msikiti huo, kutokana na hofu ya kuzuka mapambano makali kutoka kwa Wapalestina.
Habari ID: 1465817    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/31

Khalid Mashal Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina Hamas amesema kuwa, usitishaji wowote wa vita unapaswa kufungamana na uondoshwaji mzingiro wa kidhuluma uliowekwa dhidi ya wananchi wa Ghaza.
Habari ID: 1438342    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/11