kiluo

IQNA

IQNA – Tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kimaasai ipo mbioni kukamilika. Mradi huu mkubwa unaoendeshwa na Taasisi ya Mohammed Bakari ya Kenya unalenga kuimarisha ujumbe wa Uislamu miongoni mwa jamii zinazozungumza lugha ya Maa.
Habari ID: 3481637    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/09

Huku Waislamu duniani wakisherehekehea siku kuu ya Idul Fitr, msomi wa Kiislamu Kenya ameitunukia jamii ya Waluo Qur'ani Tukufu iliyotafsiriwa (tarjumiwa) kwa lugha ya Kiluo.
Habari ID: 3470440    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08