iqna

IQNA

Huku Waislamu duniani wakisherehekehea siku kuu ya Idul Fitr, msomi wa Kiislamu Kenya ameitunukia jamii ya Wa luo Qur'ani Tukufu iliyotafsiriwa (tarjumiwa) kwa lugha ya Ki luo .
Habari ID: 3470440    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08