iqna

IQNA

Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mebainisha kuwa, moja ya matatizo makubwa uliyo nayo ulimwengu wa Kiislamu hivi sasa ni matatizo ya kutwishwa, ya makusudi, ya kikhabithi na yenye lengo la kuwasha moto wa hitilafu na mizozo katika umma wa Kiislamu na kushadidisha ugomvi wa kimadhehebu kati ya Waislamu.
Habari ID: 1317413    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/11/13