Harakati ya Ikhwanul Muslimin nchini Misri imetoa wito wa kufanyika mazungumzo ili kumaliza mgogoro wa kisiasa ulioibuka nchini humo baada ya rais Mohammad Mursi kuondolewa madarakani mwezi Julai.
Habari ID: 1318451 Tarehe ya kuchapishwa : 2013/11/17