iqna

IQNA

Khatibu wa Salaya Ijumaa Tehran:
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema serikali ya Marekani imekuwa ikitoa vitisho kuwa itaishambulia Iran kijeshi lakini lililowazi ni kuwa watawala wa Washington hawathubutu kuishambulia Iran kijeshi.
Habari ID: 1372234    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/08