Kundi la wanamgambo wa kitakfiri la Boko Haram lenye makao yake nchini Nigeria hivi sasa linaiga mbinu sawa na zile zinazotumiwa na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh (ISIL) nchini Syria.
Habari ID: 2930964 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/05
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani vikali shambulizi la kigaidi kwenye Msikiti Mkuu wa Kano, Nigeria jana Ijumaa, ambalo limeripotiwa kupelekeka kuuawa watu zaidi ya 120 na kuwajeruhi wanaokisiwa kuwa mamia ya wengine.
Habari ID: 2613079 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/29
Wanamgambo wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram wa nchini Nigeria wametangaza kuasisi kile walichokitaja kuwa ni utawala wa “Khilafa” huko kaskazini mashariki mwa mji wa Gwoza.
Habari ID: 1443511 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/26
Magaidi wa Kitakfiri au Kiwahabbi ambao wanajifanya kuwa Waislamu sasa wanatekeleza jinai katika maeneo mbali mbali ya dunia kwa lengo la kuuharibia jina Uislamu. Hayo yamedokezwa na Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib.
Habari ID: 1407014 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/15
Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imetoa taarifa na kulaani hujuma ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi la Boko Haram dhidi ya shule moja nchini Nigeria ambapo wanafunzi 57 waliuawa.
Habari ID: 1380935 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/28