Kundi lenye misimamo mikali ya Kikristo la Anti Balaka sasa limeanza kutumia mbinu mpya kwa ajili ya kuua Waislamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa kuwauzia vyakula vyenye sumu . Hadi sasa makumi ya watoto wadogo wameripotiwa kufariki dunia katika mji wa Buda kutokana na mbinu hiyo ya mauaji.
Habari ID: 1392667 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/09