iqna

IQNA

Jibu kwa jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa imeyaweka majina ya shakhsia kumi na taasisi nne za Marekani kwenye orodha yake ya vikwazo.
Habari ID: 3476020    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa: Uimwengu wa Ubeberu, Ulimwengu wa Uistikbari, Marekani, Uzayuni na kambi Ukufurushaji, zinapigana vita dhidi ya na haki na uadilifu visivyosuluhishika.
Habari ID: 3475892    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07

Harakati ya Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ina nguvu na uthabiti kuliko wakati wowote ule, na kwamba taifa hili litavuka salama mtihani wa sasa kutokana na hekima ya viongozi wake.
Habari ID: 3475867    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/02

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Usalama ya Iran imesema Marekani na Uingereza zilichochea ghasia zilizoshuhudiwa hivi karibuni kote Iran.
Habari ID: 3475864    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Gwaride la 38 la Kila Mwaka la Siku ya Umoja Waislamu wa Marekani lilifanyika Manhattan, jijini New York.
Habari ID: 3475844    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Jimbo la Arizona (ASU) kilifungua Kituo cha Uzoefu wa Kiislamu nchini Marekani muhula huu.
Habari ID: 3475840    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Wanaume wawili walipigwa risasi na kuuawa Jumatatu usiku huko nchini Marekani katika jiji la Oakland wakati washambuliaji wengi waliokuwa kwenye gari walipofyatua risasi kwa umati wa watu karibu na Kituo cha Kiislamu cha Oakland.
Habari ID: 3475820    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21

Iran na jamii ya kimataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema hana mpango wa kukutana au kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani, Joe Biden katika safari yake ya New York, anayotazamiwa kwenda kushiriki Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).
Habari ID: 3475804    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Athari za baada ya mashambulizi yaSeptemba 11 za chuki dhidi ya Uislamu zinaendelea kuwakumba Waislamu Wa marekani huku ikiwa imetimia miaka 21 tokea mashambulizi hayo yajiri.
Habari ID: 3475773    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Maonyesho ya picha yamefunguliwa huko San Antonio kwa lengo la kuangazia Waislamu huko Texas, Marekani.
Habari ID: 3475770    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) –Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) linawataka polisi nchini humo kuimarisha doria zaidi baada ya shambulio dhidi ya msikiti.
Habari ID: 3475756    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wa marekani wamefanya maandamano katika baadhi ya miji ya nchi hiyo wakilaani jinai na hatua za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina na hatua ya mashirika makubwa ya Google and Amazon kuunga mkono utawala huo.
Habari ID: 3475755    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09

Uislamu barani Ulaya
TEHRAN (IQNA) – Mwanamke mmoja huko Plymouth, kusini magharibi mwa Uingereza, alikubali Uislamu baada ya kusoma Qur’ani Tukufu mara nne katika muda wa mwezi mmoja.
Habari ID: 3475726    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03

Ubaguzi Marekani
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) lilisema Waislamu wa Marekani wanaunga mkono wale wote wanaopinga ubaguzi wa rangi unaolenga watu wenye asili ya Afrika, chuki dhidi ya wageni, chuki dhidi Uislamu na itikadi kuwa wazungu ndio watu bora zaidi.
Habari ID: 3475721    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/02

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA)-Jaji wa kwanza Mwislamu mwenye kuvaa Hijabu katika historia ya Marekani, ambaye alianza kazi yake miezi miwili iliyopita katika hafla ya kiapo kwa Qur'ani Tukufu, anasema kwamba ana nia ya kutetea haki za Waislamu wa Marekani.
Habari ID: 3475697    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29

Ugaidi Marekani
TEHRAN (IQNA) – M marekani mmoja katika jimbo la New Mexico nchini Marekani ameshtakiwa kwa kujaribu kuanzisha kituo cha mafunzo kwa watu wanaotaka kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh (ISIL au ISIS).
Habari ID: 3475692    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/28

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia katu haitalegeza msimamo mbele ya adui ili taifa hili liondolewe vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
Habari ID: 3475682    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26

Ubaguzi wa rangi
TEHRAN (IQNA)- Utafiti wa Chuo Kikuu cha Rice unaonyesha kuwa Waislamu wenye asili ya Afrika nchini Marekani wanakabiliwa na utumiaji mabavu na unyanyasaji mara tano zaidi yaw engine kutoka kwa polisi nchini humo.
Habari ID: 3475677    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25

Chuki dhidi ya Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Hatua za usalama zinatarajiwa kuimarishwa karibu na misikiti huko Houston Marekani baada ya wanaume wanne Waislamu kuuawa ndani ya siku 10 huko Albuquerque.
Habari ID: 3475600    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/09

Kiongozi wa Ansarullah Yemen
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdulmalik Badruddin Al-Houthi amesema, Imam Hussein (AS) alisimama kupambana kwa ajili ya kuuokoa Uislamu na shari ya maadui.
Habari ID: 3475598    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/09