iqna

IQNA

Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Filamu fupi kuhusu kisa cha kweli cha mwanajeshi wa Marekani ambaye alipanga kulipua kwa bomu Kituo cha Kiislamu cha Muncienchini Marekani lakini akapata marafiki ndani na kusilimu imeteuliwa kuwania Tuzo ya Academy nchini Marekani.
Habari ID: 3476469    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26

Chuki dhidi ya Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) –Mhalifu anayeaminika kuwa mwenye chuki dhidi ya Uislamu amehujumu Kituo cha Kiislamu cha Tracy na Msikiti wa Tracy katika jimbo la California la Marekani mkesha wa mwaka mpya.
Habari ID: 3476361    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/05

Kumbukizi ya Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Wa marekani wanapaswa kujua kwamba watu wa Iran hawataiacha damu ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani iende burE, na bila shaka watalipiza kisasi kwa damu ya shahidi huyo wa ngazi ya juu.
Habari ID: 3476349    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03

Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA)- Bilionea wa Ki marekani , Elon Musk, ambaye ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, amewakasirisha Waislamu nchini Marekani baada ya kuchapisha picha kwenye akaunti yake ya Twitter, ikiwa na idadi ya alama za fikra na itikadi anazodai zinalenga "kupindua na kuharibu fikra na akili za watu."
Habari ID: 3476345    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na familia za watu waliouawa shahidi katika shambulio ya kigaidi la Haram ya Shah Cheragh AS mjini Shiraz na kusema kuwa, shambulio hilo limeifedhehesha Marekani na kuonesha unafiki wao na roho zao mbaya.
Habari ID: 3476275    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20

Uislamu na Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Mwanamasumbwi wa kulipwa wa zamani wa Marekani, Mike Tyson, amefika katika mji mtakatifu wa Makka, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, na kutekeleza ibada ya Umrah (Hija Ndogo).
Habari ID: 3476227    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/10

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Wabunge kadhaa nchini Marekani wamezitaka benki za nchi hiyo kuacha mbinu za kibaguzi dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3476191    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amehutubia hadhara kubwa ya wapiganaji wa kujitolea wa Basiji kwa mnasaba wa Siku ya Basiji ambako amesisitiza kuwa: Mapambano na mapigano makuu ni dhidii ya ubeberu wa kimataifa.
Habari ID: 3476153    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema lengo kuu la wachochezi wa machafuko ya hivi karibuni ni kuliingiza taifa la Iran katika medani na kuongeza kuwa: "Machafuko hayo bila shaka yatakomeshwa na taifa kuendelea kusonga mbele kwa nguvu zaidi na ari mpya katika uwanja wa maendeleo ya nchi."
Habari ID: 3476116    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/19

Jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Hizbullah Sayyid Hassan Nasrallah amejibu matamshi ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Lebanon na Hizbullah na kusema: "Marekani ndio msingi wa laana na tauni, na Hizbullah ndiyo iliyoondoa shari na laana ya Marekani nchini Lebanon na kuangamiza tauni hiyo."
Habari ID: 3476074    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/12

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Rais Joe Biden wa Marekani ya kuunga mkono ghasia na machafuko nchini Iran na kusema, "Rais wa Marekani amedai kwamba "tuna mipango ya kuikomboa Iran"; hata hivyo anapaswa kuelewa kwamba Iran ilikombolewa miaka 43 iliyopita na haitatekwa tena na Marekani wala kuwa gombe la kukamuliwa maziwa."
Habari ID: 3476031    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/04

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, tarehe 13 Aban (Novemba 4) ni mfano wa wazi wa uovu, ukhabithi na dhihirisho la kupata pigo na kushindwa Marekani.
Habari ID: 3476025    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02

Jibu kwa jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa imeyaweka majina ya shakhsia kumi na taasisi nne za Marekani kwenye orodha yake ya vikwazo.
Habari ID: 3476020    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa: Uimwengu wa Ubeberu, Ulimwengu wa Uistikbari, Marekani, Uzayuni na kambi Ukufurushaji, zinapigana vita dhidi ya na haki na uadilifu visivyosuluhishika.
Habari ID: 3475892    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07

Harakati ya Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ina nguvu na uthabiti kuliko wakati wowote ule, na kwamba taifa hili litavuka salama mtihani wa sasa kutokana na hekima ya viongozi wake.
Habari ID: 3475867    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/02

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Usalama ya Iran imesema Marekani na Uingereza zilichochea ghasia zilizoshuhudiwa hivi karibuni kote Iran.
Habari ID: 3475864    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Gwaride la 38 la Kila Mwaka la Siku ya Umoja Waislamu wa Marekani lilifanyika Manhattan, jijini New York.
Habari ID: 3475844    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Jimbo la Arizona (ASU) kilifungua Kituo cha Uzoefu wa Kiislamu nchini Marekani muhula huu.
Habari ID: 3475840    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Wanaume wawili walipigwa risasi na kuuawa Jumatatu usiku huko nchini Marekani katika jiji la Oakland wakati washambuliaji wengi waliokuwa kwenye gari walipofyatua risasi kwa umati wa watu karibu na Kituo cha Kiislamu cha Oakland.
Habari ID: 3475820    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21

Iran na jamii ya kimataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema hana mpango wa kukutana au kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani, Joe Biden katika safari yake ya New York, anayotazamiwa kwenda kushiriki Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).
Habari ID: 3475804    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18