marekani - Ukurasa 3

IQNA

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amekosoa matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani na kuyataja kuwa ni "fedheha" kwa taifa la Marekani.
Habari ID: 3480694    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/17

IQNA – Waislamu wanaosimamia mradi wa ujenzi wa mtaa wao mpya huko Texas, Marekani wamesema uchunguzi wa serikali na shirikisho una dosari.
Habari ID: 3480665    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/10

IQNA – Mohsen Mahdawi, mwanafunzi wa Kipalestina katika Chuo Kikuu cha Columbia nchini Marekani aliyekamatwa kwa kushiriki maandamano kupinga vita vya Israel dhidi ya Gaza, ameachiwa huru kutoka kizuizini.
Habari ID: 3480623    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/02

IQNA – M marekani mwenye asili ya Kiarabu amefungua kesi ya ubaguzi dhidi ya Shirika la Big Jay’s Auto Sales huko Shelby Township, Michigan, Marekani akidai kwamba mfanyakazi wa shirika hilo  alitoa matamshi ya udhalilishaji kuhusu imani yake ya Uislamu wakati wa mazungumzo ya uuzaji wa gari. 
Habari ID: 3480592    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/25

IQNA – Wanafunzi watatu Waislamu wa chuo kikuu huko Georgia nchini Marekani wametozwa faini ya kifedha baada ya kudhalilishwa walipokuwa wakiswali katika eneo la maegesho ya umma.
Habari ID: 3480548    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/16

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesema mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani katika mji mkuu wa Oman, Muscat, yamefanyika vizuri katika hatua za awali, lakini ameongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ina shaka kubwa kuhusu upande wa pili.
Habari ID: 3480545    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/15

IQNA – Mashindano ya Qur'ani kwa watoto yamefanyika Charlotte, jimbo la North Carolina, Marekani katika Mwezi Mtukufu  Ramadhani. 
Habari ID: 3480440    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/26

IQNA-Vikosi vya Jeshi la Yemeni vimetangaza shambulio jingine dhidi ya vikosi vya Marekani katika eneo la Bahari ya Shamu, vikitumia makombora na ndege zisizo na rubani ili kuzuia shambulio tarajiwa la Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3480393    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/18

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, ombi la Rais Donald Trump wa Marekani kwamba anataka kufanya mazungumzo na Iran si lolote bali ni jaribio la "kuhadaa maoni ya umma duniani" na kutaka kuonyesha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni upande ambao hauko tayari kutoa fursa nyingine kwa diplomasia.
Habari ID: 3480365    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/13

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyid Ali Khamenei, amesema kuwa sisitizo la baadhi ya madola ya kibabe juu ya kuandaa mazungumzo na Iran hakulengi kutatua matatizo.
Habari ID: 3480330    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/09

IQNA – Wanafunzi Waislamu katika shule moja ya California ambao wanafunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani watapewa ‘chakula cha kubeba’ na shule hiyo.
Habari ID: 3480251    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/22

IQNA – Wazazi na walimu nchini Marekani wametakiwa kuhudhuria webinari (warsha za mtandaoni) mbili zijazo zinazolenga kuunga mkono wanafunzi Waislamu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480210    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13

IQNA – Kufuatia moto mbaya huko Los Angeles, California nchini Marekani ambao umeuteketeza Msikiti wa At-Taqwa, jamii ya Waislamu imekusanya zaidi ya dola 745,000 kwa ajili ya kujenga upya msikiti huo.
Habari ID: 3480067    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/17

Waislamu Marekani
IQNA – Mji wa Michiganu Januari kuwa "Mwezi wa Urithi wa Waislamu wa Marekani," ili kutambua michango muhimu ya Waislamu wa Marekani katika utamaduni, uchumi, na jamii katika jimbo hilo.
Habari ID: 3480036    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/11

Diplomasia ya Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq sambamba na kuimarisha kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al-Hashd al-Shaabi.
Habari ID: 3480022    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/09

Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, Marekani mara zote imekuwa ikifanya makosa katika mtazamo wake dhidi ya Iran kwa miongo kadhaa sasa.
Habari ID: 3480017    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/08

Kiongozi Muadhamu
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amepuuzilia mbali madai kwamba Iran imefungiwa njia ya kufikia "vikosi vyake vya niaba" katika eneo, na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haina wala haihitaji vikosi hivyo ili kufikia malengo yake
Habari ID: 3479935    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/22

Waislamu wa Marekani
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Naperville (ICN) nchini Marekani kimekamilisha awamu ya awali ya mradi wake mpya wa msikiti wa futi za mraba 28,400 kwenye barabara ya 248th Avenue.
Habari ID: 3479929    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21

Haki za Binadamu
IQNA-Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,
Habari ID: 3479910    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16

IQNA - Kuna mashirika mengi ya kutoa misaada ya Kiislamu nchini Marekani yanayojaribu kupeleka misaada Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanaokumbwa na vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na Israel, lakini wanakabiliwa na vikwazo na ubaguzi mbalimbali.
Habari ID: 3479828    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30