TEHRAN (IQNA) – Uchunguzi mpya umebaini kuwa zaidi ya asilimia 67.5 ya Waislamu wanaoishi Marekani wamekumbana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu (Islampohobia) walau mara moja maishani.
Habari ID: 3474368 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/01
Rais Raisi wa Iran katika hotuba kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema juhudi za Marekani na washirika wake za kuitwisha dunia ubeberu wao zimefeli vibaya na kwamba siasa hizo za ubeberu hazina itibari tena kimataifa.
Habari ID: 3474324 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22
TEHRAN (IQNA)- Mwanamke mmoja Muislamu katika jimbo la Michigan nchini Marekani amelalamika kuwa polisi walimvua Hijabu baada ya kumkamata. Alivuliwa Hijabu katika kituo cha polisi wakati wa kupigwa picha.
Habari ID: 3474319 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa mara nyingine imelaani vikali mkataba wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya madola ya Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474315 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19
TEHRAN (IQNA)- Umepita mwaka mmoja tangu kulipotiwa saini makubaliano baina ya utawala haramu wa Israel na nchi mbili za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain, ambapo mataifa hayo ya Kiarabu yaliafiki kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474304 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17
TEHRAN (IQNA)- Tawi la chama cha pili kwa ukubwa cha wafanyikazi wakubwa nchini Marekani, Shirikisho la Walimu la Marekani (AFT), limelaani utawala ghasibu wa kijeshi wa Israeli na sera zake "ubaguzi wa rangi."
Habari ID: 3474301 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16
TEHRAN (IQNA)- Viongozi na wananchi wa Lebanon wameishukuru kwa dhati Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwatumia mafuta ambayo yamevunja vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
Habari ID: 3474300 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16
TEHRAN (IQNA)- Miaka 20 iliyopita katika siku kama ya leo ya tarehe 11 Septemba mwaka 2001, ndege mbili kati ya nne za abiria za Marekani zilizotekwa nyara ziligonga minara miwili pacha ya jengo la Biashara la Kimataifa la mjini New York huku ndege moja ikigonga jengo la Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) huko Washington.
Habari ID: 3474282 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/11
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Saudi Arabia, utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani ziko kwenye muungano mmoja.
Habari ID: 3474252 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03
TEHRAN (IQNA)- Matukio ya majuma mawili ya hivi karibuni nchini Afghanistan yameonyesha kuwa, makundi ya mapambano na muqawama katika eneo la Asia Magharibi yana nafasi muhimu katika kulinda mamlaka ya kujitawala pamoja na usalama wa mataifa yao.
Habari ID: 3474235 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28
TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya Umoja wa Mataifa yametaka kuanzishwa mara moja kwa daraja maalum la safari za ndege la kuwezesha ndege zilizobeba misaada ya kibinadamu kuingia nchini Afghanistan kwa ajili ya utoaji wa msaada endelevu na bila vizuizi.
Habari ID: 3474219 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/23
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, kambi ya muqawama inajivunia na uadu na ubeberu wa Marekani, uadui wa utawala haramu wa Israel na mipango ya utawala huo ghasibu dhidi ya harakati hii.
Habari ID: 3474218 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/23
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya Lebanon Hezbullah anasema kushindwa kwa Marekani nchini Afghanistan kunaonyesha ujinga wa wa wakuu wa Washington na kukosekana mahesabu katika sera zao kigeni.
Habari ID: 3474201 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18
TEHRAN (IQNA) "American Muslims (Waislamu wa Marekani) ni filamu inayoshughulikia maswala ya sasa kama vile ubaguzi wa rangi, na ubaguzi katika enzi ya media ya kijamii.
Habari ID: 3474200 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/17
TEHRAN (IQNA)- Mirengo miwili ya Al Fat-h na An-Nasr pamoja na harakati ya Hekima ya Kitaifa na ile ya Sadr nchini Iraq zimekaribisha juhudi za timu ya mazungumzo ya nchi hiyo zilizowezesha kufikiwa makubaliano na Marekani ya kuwaondoa askari wake katika ardhi ya Iraq.
Habari ID: 3474131 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/27
TEHRAN (IQNA)- Iran na Marekani hatimaye zitafikia mapatano ya nyuklia, amesema mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha George Washington.
Habari ID: 3474099 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/14
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amelaani vikali hatua ya Marekani kuteka tovuti za vyombo vya habari vinavyounga mkono harakati za muqwama au mapambano ya Kiislamu na Iran katika eneo.
Habari ID: 3474074 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/06
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho yanafanyika katika Chuo Kikuu cha Michigano nchini Marekani kwa lengo la kuonyesha maisha ya Waislamu katika maeneo ya Detroit na kusini-mashariki mwa Michigan.
Habari ID: 3474073 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/05
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kutoomba radhi kwa kuitungua ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu mwaka 1988 katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, Washington inapaswa kubebeshwa dhima kwa kumuenzi kamanda aliyetenda jinai hiyo.
Habari ID: 3474066 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03
TEHRAN (IQNA)- Mazishi ya wanachama wanne wa Harakati ya wapiganaji wa kujitolea wa wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi (PMU) ambao wameuawa na Marekani yamefanyika leo Baghdad, Iraq.
Habari ID: 3474054 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/29