TEHRAN (IQNA)-Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Waislamu Marekani kutokana na rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471074 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18
TEHRAN (IQNA)-Idadi ya vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu Marekani viliongezeka kwa asilimia 57 mwaka uliopita wa 2016.
Habari ID: 3470974 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/11
TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ameuhujumu msikiti nchini Marekani katika jimbo la Arizoni mjini Tucson na kupasua nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470900 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/18
IQNA-Rais-mteule wa Marekani Donald Trump amewateua watu wenye chuki dhidi ya Uislamu kuhudumu katika Ikulu ya White House jambo linanloashiria muendelezo wa sera zake za chuki ambazo zimewatia hofu Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470684 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/19
IQNA-Kumeshuhudiwa wimbi la hujuma dhidi ya Waislamu kote Marekani baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais siku ya Jumanne.
Habari ID: 3470666 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11
Wanawake Waislamu nchini Marekani wametakiwa kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa kutokana na kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3470195 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/14
Wanafunzi Waislamu wanaosoma katika shule za umma au za binafsi zisizokuwa za Waislamu katika jimbo la California nchini Marekani wamefanyiwa uonevu au ubaguzi kwa kiwango cha zaidi ya mara mbili kwa wastani wa kitaifa.
Habari ID: 3432361 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/02
Misikiti Marekani imetakiwa kuwa katika hali ya tahadhari na kuimarishwa usalama kutokana na ghasia zinazotazamiwa kuibuliwa Oktoba 10 na makundi ya watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu ambao wataandamana siku hiyo.
Habari ID: 3382994 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/07
Kampeni ya kusambaza zawadi za nakala za Qur'ani tukufu imezinduliwa Marekani na Baraza la Uhusiano wa Kiislamu Marekani CAIR katika kujibu matamshi yenye chuki dhidi ya Uislamu ya Ben Carson, anayetaka kugombea kiti cha urais nchini humo mwakani kwa tikiti ya chama cha Republican.
Habari ID: 3366378 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/22