Rais Vladimir Putin wa Russia ameidhinisha muswada wa bunge la nchi hiyo, Duma, kuhusu kulinda na kuhifadhi heshima vitabu vitukufu vya duni kubwa duniani.
Habari ID: 3386346 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/17
Serikali kuu ya Italia imekwenda kwenye mahakama ya Katiba kupinga sheria mpya iliyopitishwa na serikali ya ndani ya jimbo la Lombardy la kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 2983062 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/14