iqna

IQNA

IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu ni fursa muhimu ya kuleta unyenyekevu na uhai wa kiroho katika mazingira ya vyuo vikuu kupitia usomaji wa Qur'ani Tukufu, amesema afisa mmoja wa elimu.
Habari ID: 3480788    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/04

IQNA – Lengo kuu la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa Wanafunzi Waislamu ni kuimarisha umoja miongoni mwa wanafunzi, wasomi, na wahadhiri kutoka ulimwengu wa Kiislamu, afisa mmoja amesema.
Habari ID: 3480782    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/03

IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu si tu jukwaa la mashindano kuhusu maarifa ya Qur’ani, bali pia ni fursa adhimu ya kukuza na kuimarisha maisha ya kiroho katika mazingira ya kielimu, afisa mmoja amesema.
Habari ID: 3480776    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/02

IQNA – Washiriki wa baraza la utungaji sera kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wametangazwa.
Habari ID: 3480678    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe ya kutunuku washindi wa toleo la 38 la Mashindano ya Qur’ani na Etrat ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Iran ilifanyika Tabriz siku ya Jumatano.
Habari ID: 3479421    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/12

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 38 la Mashindano ya Qur'an na Etrat kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Iran lilizinduliwa katika mji wa kaskazini magharibi wa Tabriz siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3479412    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

Nasaha
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mwamko wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Marekani dhidi ya utawala katili wa Israel na kusisitiza kuwa, wanachuo hao wa Marekani wamesimama katika upande sahihi wa historia huku akiwanasihi wajifunza Qur'ani Tukufu
Habari ID: 3478903    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/30

Kiongozi Muadhamu katika ujumbe kwa Kikao cha 54 cha Umoja wa Jumuia za Kiislamu za Wanachuo wa Ulaya
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa Kikao cha 54 cha Umoja wa Jumuia za Kiislamu za Wanachuo wa Ulaya akiwasisitizia kwamba, kikao chao mwaka huu kinafanyika baada ya kutokea matukio muhimu na kila moja ya matukio hayo linaonesha ukubwa na itibari ya Iran ya Kiislamu na taifa la kimapinduzi.
Habari ID: 3472406    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/25

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu wametangazwa leo Jumapili.
Habari ID: 3471488    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/29

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo imekuwa mwenyeji wa duru kadhaa za mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu duniani inahimiza nchi zingine za Kiislamu ziandae duru zijazo za mashindano hayo.
Habari ID: 3471486    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/28

Mjini Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu yameanza katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3471485    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/27

TEHRAN (IQNA)-Washiriki 44 wamefuzu katika fainali ya Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu vya nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3471479    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/24

Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Tanzania amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni mjumuiko wa viongozi wa baadaye wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470598    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/04

Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki kutoka nchi Zaidi ya 50.
Habari ID: 3470481    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Wanafunzi Waislamu katika jiji la New York wamekuwa wakikabiliwa na miamala ya kibaguzi na kuvunjiwa heshima kutokana na kuongezeka hisia za chuki dhidi ya dini Tukufu ya Uislamu nchini Marekani.
Habari ID: 2954393    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/09

TEHRAN-IQNA- Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yamemalizika Jumapili mjini Tehran huku wawakilishi wa Iran na misri wakichukua nafasi za kwanza katika qiraa na hifdhi kwa taratibu.../mh 2671946
Habari ID: 2672141    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/05

Mwenyekiti wa Taasisi ya Jihadi ya Vyuo Vikuu nchini Iran amesema lengo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni kuimarisha itikadi za wanafunzi wa vyuo vikuu katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuhuisha umoja wa Waislamu kueneza ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 2666237    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01

Tehran (IQNA)- Kongamano la kimataifa lenye anuani ya “Umoja wa Kimataifa Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Hadithi” linatazamiwa kufanyika Tehran, Ijumaa tarehe pili Januari.
Habari ID: 2626656    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/25

Mtaalamu mwashuhuri wa Qur'ani kutoka Misri amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu ni hatua muhimu katika umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 1442398    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/24