susia

IQNA

IQNA – Katika kura ya maamuzi yenye uzito, Shirikisho la Soka la Ireland (FAI) limeunga mkono azimio linaloitaka UEFA kuifukuza Israel kutoka kwenye mashindano ya kimataifa na ya vilabu barani Ulaya.
Habari ID: 3481491    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/09

Watetezi wa Palestina
IQNA - Tume ya Kiislamu ya Haki za Kibinadamu imeanza kampeni ya kuwataka watu kuepuka kununua bidhaa au huduma za makampuni ambayo yanaunga mkono utawala katili wa Israel ambao unatekeleza mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477997    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06

Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imetoa wito wa kususiwa bidhaa za zinazozalishwa na utawala haramu wa Israel aktika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470186    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08