wanazi mamboleo

IQNA

Chuki dhidi ya Uislamu
BERLIN (IQNA) - Msikiti mmoja nchini Ujerumani ulipokea barua ya vitisho kutoka kwa kundi la Wanazi mamboleo siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477384   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/05

Chuki dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA) –Waislamu katika mji wa kati wa Ujerumani wa Goettingen wameeleza "wasiwasi" baada ya msikiti wao kupokea barua ya vitisho yenye nembo ya Kinazi ya Swastika na nembo nyinginezo za Wanazi mamboleo.
Habari ID: 3477047   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/26