iqna

IQNA

Waislamu Uingereza
LONDON (IQNA) – Jamii ya Kiislamu ya Lancaster (LICH) nchini Uingereza inaandaa mashindano ya kandanda mwezi Septemba ili kuunganisha watu kutoka asili na tamaduni tofauti.
Habari ID: 3477415    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/11