Kimbunga cha Al Aqsa
AL-QUDS (IQNA) - Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema hadi sasa takriban watoto 2,360 walikuwa wameuawa katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Israel huko Gaza, na kubainisha masikitiko yake kuhusu idadi "ya kushtua" ya watoto waliojeruhiwa katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3477791 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/26
Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Katika hali ambayo, serikali ya India imechukua mkono wa sera za kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya New Delhi, mji mkuu wa nchi hiyo wameandamana na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Gaza.
Habari ID: 3477790 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/26
Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu (WFPIST) ametoa wito kwa maafisa wa nchi za Kiislamu kuiunga mkono Palestina kwa vitendo badala ya kutoa matamshi tu ya kulaani.
Habari ID: 3477789 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/26
Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Licha ya uungaji mkono wa watu waovu wa dunia na ushiriki wa Wamarekani katika uhalifu wa Wazayuni, ukatili na jinai hizi hatimaye hazitafua dafu, na katika kadhia hii na nyinginezo zijazo, ushindi utakuwa upande wa taifa la Palestina.
Habari ID: 3477788 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/25
Taarifa Muhimu
TEHRAN (IQNA) –Wahadhiri 9,200 wa vyuo vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamelaani vikali ukatili wa utawala dhalimu wa Israel katika eneo la Palestina lililozingirwa la Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477783 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kusisitiza kuwa, Palestina na Ghaza ni dhihirisho la nguvu za Uislamu.
Habari ID: 3477740 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/15
Kimbunga cha Al-Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ametoa mwito kwa Waislamu kote duniani kuwaunga mkono, kuwahami na kuwasaidia wananchi wa Palestina, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kufanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477709 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10
GAZA (IQNA) - Tangu kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza tarehe 7 Oktoba, utawala huo dhalimu umeshambulia kwa mabomu na kuharibu misikiti saba katika eneo hilo la Palestina lililozingirwa.
Habari ID: 3477708 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10