iqna

IQNA

"Ahadi ya Kweli"
Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Sura Al Fath, aya ya 29
Habari ID: 3478696    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/18

Ahadi ya Kweli
IQNA - Profesa wa chuo kikuu cha Yemeni amesema "Operesheni ya Ahadi ya Kweli " ya kijeshi ya Iran dhidi ya Israeli ilikuwa zaidi ya shambulio la kulipiza kisasi.
Habari ID: 3478695    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/17

Ahadi ya Kweli
IQNA - Mchambuzi wa Lebanon ameorodhesha nukta nane kuhusu mashambulizi ya kulipiza kisasi wa Iran dhidi ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuja baada ya mashambulizi ya Israel kwenye ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.
Habari ID: 3478691    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16

Ahadi ya Kweli
IQNA - Msururu wa vikao vha kusoma  Qur'ani Tukufu ambavyo vimepewa jina la " Ahadi ya Kweli " vinafanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478689    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16

Ahadi ya Kweli
IQNA-Mufti Mkuu wa wa Oman amekaribisha na kupongeza mashambulizi ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478687    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16

Ahadi ya Kweli
IQNA-Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameionya Marekani kuhusu kuanzisha hatua za kijeshi dhidi ya Iran baada ya operesheni yake ya kisheria ya hivi karibuni ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala ghasibu wa Israel, mshirika mkuu wa kieneo wa Washington.
Habari ID: 3478686    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/15

­­­­­­­­­Ahadi ya Kweli
IQNA-Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utafanya harakati yoyote ya kifidhuli utakabiliwa na jibu madhubuti, zito na kali zaidi.
Habari ID: 3478685    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14

Ahadi ya Kweli
IQNA- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limefanya mashambulizi makubwa ya kulipiza kisasi kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani na makombora dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel likijibu mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa utawala wa Israel ya tarehe 1 Aprili dhidi ya majengo ya kidiplomasia ya Jamhuri ya Kiislamu katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
Habari ID: 3478681    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14