iqna

IQNA

maafa
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, watu wa Iran kamwe hawatasahu maafa ya mauti ya kuogofya ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana.
Habari ID: 3470545    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02

Baada ya kupita wiki mbili
Hatimaye baada ya kupita muda wa wiki mbili, Waziri wa Saudi Arabia anayehusika na Hija ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia kuaga dunia Mahujaji wa Iran katika maafa ya Mina.
Habari ID: 3383364    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09

Tarehe 24 Septemba katika siku kuu ya Idul Adha wakati zilipoenea habari za kukanyagana na kuzimia baadhi ya Mahujaji huko Mina, hakuna aliyedhani au kuamini kuwa tukio hilo lingegeuka na kuwa maafa makubwa na ya kuogofya ambayo yameshuhudiwa.
Habari ID: 3381643    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/05

Waislamu nchini Tanzania wametaka iundwe kamati ya kimataifa kuchunguza maafa ya hivi karibuni huko Mina karibu na mji mtukufu wa Makka ambapo zaidi ya Mahujaji 5,000 walipoteza maisha.
Habari ID: 3377983    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/03

Maafa ya Mina
Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametoa mkono wa pole kwa serikali na watu wa Iran kufuatia vifo vya Wairani katika maafa yaliyojiri Mina karibu na Makka wakati wa ibada ya Hija hivi karibuni.
Habari ID: 3377239    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02

Maqarii wengine watatu wa Qur'ani Tukufu Wairani wametambuliwa kuwa miongoni mwa Mahujaji waliopoteza maisha katika maafa ya Mina Alhamisi wiki iliyopita.
Habari ID: 3377233    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02

Serikali ya Indonesia imesema siku kadhaa baada ya maafa ya Mina, utawala wa Saudi Arabia umeizuia nchi yake kuwatambua au kutoa msaada wa kitiba kwa raia wake.
Habari ID: 3375825    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/30

Saudi Arabia imesema kuwa itawazika kwenye makaburi ya umati mahujaji walioaga dunia katika tukio la Mina ambao imeshindakana kutambuliwa.
Habari ID: 3374469    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/29

Wizara ya Afya ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, idadi ya Mahujaji walipoteza maisha katika maafa ya Mina imefikia 4,173.
Habari ID: 3374468    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/29

Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametoa amri ya kukusanywa kanda zote za kamera zilizosajili maafa ya kusikitisha ya Mina.
Habari ID: 3372681    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/28

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametangaza siku tato za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya mamia ya mahujaji waliokuwa katika ibada ya Hija huko Mina, karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3367103    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Waislamu wasiopungua 108,000 walipoteza maisha kutokana na maafa na vita katika nchi za Kiislamu na nchi ambazo Waislamu ni wachache kote duniani mwaka 2014.
Habari ID: 3345845    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18