TEHRAN (IQNA)- Benjamin Netanyahu mtenda jinai ametimuliwa madarakani na kufikia tamati utawala wake wa miaka 12 katika utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474006 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/14
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, vita vya Saif al Quds (Panga la Quds) vimepelekea kuwepo umoja na mshikamano wa muqawama kote Palestina.
Habari ID: 3473999 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12
TEHRAN (IQNA)- Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema nchi yake haitalegeza msimamo wake katika kuunga mkono taifa la Palestina.
Habari ID: 3473989 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/08
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wametangaza kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina hasa baada ya hujuma ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel
Habari ID: 3473986 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/07
TEHRAN (IQNA)- Walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanalindwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel Jumatano waliuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa katiak mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3473974 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/03
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema wananchi wa Palestina wamekaribia sana kuuvunja mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza uliowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kushirikiana na Misri tokea mwaka 2007.
Habari ID: 3473968 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/01
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa ulinzi wa Iran amesema Wa palestina waliibuka ushindi hivi karibuni katika vita na utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na imani yao kwa Mwenyezi Mungu kwa Allah SWT.
Habari ID: 3473965 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31
Kamanda wa Kikosi cha QUDS cha IRGC
TEHRAN (IQNA) - Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema wakati umefika kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuanza kutafakari kuondoka katika ardhi za Palestina unaozikalia kwa mabavu haraka iwezekanavyo.
Habari ID: 3473962 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/30
Balozi Salah al Zawawi
TEHRAN (IQNA)-Balozi wa Palestina nchini Iran amesema kuwa, vita vya siku 12 vilivyomalizika hivi karibuni baina ya utawala wa Kizayuni na wanamapambano wa Palestina, vimefungua mlango wa kuangamizwa kikamilifu Israel.
Habari ID: 3473961 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/30
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumapili ataitembelea Misri kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa usalama nchi hiyo kuhusu mapatano yaliyofikishwa ya usitishwaji vita Ghaza.
Habari ID: 3473960 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29
TEHRAN (IQNA)- Sala ya Ijumaa imeswaliwa jana katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) ambapo inakadiriwa kuwa Wa palestina 40,000 walishiriki katika sala hiyo.
Habari ID: 3473959 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Masuala ya Kidini Malaysia Zulkifli Mohammad al Bakri amesema nchi yake inalenga kuanzisha mfuko maalumu wa kifedha maalumu kwa lengo la kuwasaidia Wa palestina .
Habari ID: 3473958 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29
TEHRAN (IQNA) – Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema hali jumla ya kiafya ya kiongozi wa harakati hiyo, Sayyid Hassan Nasrallah ni nzuri.
Habari ID: 3473954 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/28
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake itatoa mchango wa dola milioni 500 kwa ajili ya ujenzi mpya wa Ukanda wa Ghaza baada ya vita vya hivi karibuni vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wa palestina aktika eneo hilo.
Habari ID: 3473950 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/27
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa hujuma dhidi ya maeneo matukufu katika mji wa Quds (Jerusalem) inaweza kupelekea kuibuka vita vya kieneo na kuangamizwa utawala huo wa Kizayuni.
Habari ID: 3473947 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26
TEHRAN (IQNA)- Ripoti mpya zimebaini kuwa chuki dhidi ya Uislamu yaani Islamophobia imeongezeka nchini Uingereza kwa asilimia 430 kati ya Mei 8-17 ikilinganishwa na wiki moja kabla na ongezeko hilo linatokana na hujuma ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wa palestina hasa katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473946 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/25
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kufanya chokochoko na mashambulizi ya aina yoyote dhidi ya mji wa Quds (Jerusalem) na Msikiti Mtukufu wa al Aqsa mjini humo.
Habari ID: 3473942 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/24
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Ayatullah Ali Khamenei amejibu barua za viongozi wa harakati za mapambano ya kukomboa Palestina za Hamas na Jihad Islami akisisitiza kuwa: Nyoyo zetu ziko pamoja nanyi katika uwanja wa mapambano yenu, na hatimaye mtapata ushindi.
Habari ID: 3473941 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/24
TEHRAN (IQNA)- Wa palestina wanaendelea kusherekehea ushindi wa harakati za mapambano ya Kiislamu dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473940 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/24
TEHRAN (IQNA)- Hali ya taharuki imetanda tena katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina kutokana na hujuma ya walowezi wa Kizayuni wanaowashambulia raia wa Palestina wanaoelekea eneo hilo kwa ajili ya ibada baada ya jeshi la utawala katili wa Israel kushindwa kufikia malengo yake katika vita vya siku 12 huko Gaza.
Habari ID: 3473937 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/23