TEHRAN (IQNA)- Katika kuendeleza siasa zake dhidi ya taifa la Palestina na kuunga mkono utawala haramu wa Israel, Uingereza imetuhumu na kuitangaza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Paletina Hamas kuwa ni kundi la kigaidi.
Habari ID: 3474590 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23
TEHRAN (IQNA)- Arsenal ambayo ni Timu maarufu ya Ligi Kuu ya Soka Uingereza (EPL) itamtimua mchezaji Muislamu Mohamed Elneny kutokana na misimamo yake ya kuunga mkono ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3474586 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21
TEHRAN (IQNA)- Taasisi moja ya Haki za Binadamu imeripoti kuwa utawala ghasibu wa Israel umewauwa watoto wa Ki palestina 77 tangu kuanza mwaka huu wa 2021 hadi sasa.
Habari ID: 3474585 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21
TEHRAN (IQNA)- Sekretarieti ya Kudumu ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina Katika Bunge la Iran imelaani vikali hatua ya serikali ya Uingereza ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika orodha ya makundi ya kigaidi.
Habari ID: 3474583 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeipongeza Algeria kwa kupinga uanzishwaji uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474549 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya hivi karibuni ya Algeria kupinga utawala haramu wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
Habari ID: 3474548 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya watoto Wa palestina yameanza Jumatano katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3474543 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Abdulatif al-Qanua, msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu wa Palestina HAMAS ametahadharisha kuwa, hali mbaya ya mazingira yasiyo ya kibinadamu wanayoishi mateka Wa palestina , ambao wanashikiliwa kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni, yatakuwa cheche itakayowasha moto wa mapigano ya kukabiliana na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474538 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Jumanne ilipasisha maazimio sita dhidi ya utawala haramu wa Israel licha ya upinzani mkali wa wawakilishi wa Marekani, Canada na Israel.
Habari ID: 3474537 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa msikiti wa Wa palestina katika mji wa Duma, kusini mwa eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474520 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05
TEHRAN (IQNA)- Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3474510 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03
TEHRAN (IQNA)- Walowezi za Kizayuni wameendeleza hujuma zao dhidi ya msikiti wa Al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474499 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Ulaya (EU) umekariri wito wake kwa utawala haramu wa Israel usitishe mpango wake wa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474486 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29
TEHRAN (IQNA)- Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yameuonya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na kuendelea uvamizi na hujuma dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiiislamu huko Palestina hususan maziara makaburi ya al-Yusufiya huko Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474480 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakamata Wa palestina zaidi ya 1,280 katika kipindi cha miezi mitati iliyopita.
Habari ID: 3474471 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/25
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza tamko la Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia ambaye amesema nchi yake katu haitaanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474451 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza kuwa nchi hiyo inapinga utawala wa Kizayuni wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
Habari ID: 3474424 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kubomoa maziara au makaburi ya Waislamu katika mji wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3474417 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/13
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nyumba ya Sheikh Ikrima Sabri na kusisitiza kuhusu mshikamano wa Wa palestina katika kutetea Mji wa Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Al Aqsa ulio mjini humo.
Habari ID: 3474409 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11
TEHRAN (IQNA) Harakati ya Jihad Islami ya kupigania ukombozi wa Palestina imefanya maadhimisho kwa mnasaba wa kutumia mwaka wa 34 tangu kuasisiwa kwake.
Habari ID: 3474402 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09