TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri ametuma ujumbe kwa lugha 15 akitaka dunia iwaunge mkono Wa palestina wanaokandamizwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473916 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu nchini Iran (Bunge) amesema kuwa moyo wa Umma wa Kiislamu unaendelea kudunda kwa ajili ya Palestina, na Umma na makundi ya mapambano dhidi ya Uzayuni yataendelea kusimama kidete na kutetea malengo ya ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3473915 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16
TEHRAN (IQNA)- Jumamosi ya jana ilishuhudia siku ya sita tokea utawala wa Kizayuni wa Israel unazishe hujuma ya kinyama dhidi ya Wa palestina katika eneo la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473914 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16
TEHRAN (IQNA)-Raia Wa palestina 133, wakiwemo sita wa familia moja, wameuawa katika mashambulio ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ghaza.
Habari ID: 3473913 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/15
TEHRAN (IQNA)- Miaka 73 iliyopita, utawala bandia wa Israel ulitangaza uwepo wake baada ya kufanya mauaji makubwa ya umati dhidi ya Wa palestina . Siku hii inajulikana kama Siku ya Nakba.
Habari ID: 3473912 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/15
TEHRAN (IQNA)- Tawi la kijeshi la Harakati ya Mapamabno ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) limevurumisha mamia ya makombora katika miji ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusababisha hasara kubwa.
Habari ID: 3473909 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/14
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameutaka Umma wa Kiislamu na Kiarabu kufanya maandamano na mikutano ya kutetea na kuunga mkono Msikiti wa al Aqsa na watu wa Palestina.
Habari ID: 3473908 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/14
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya jana waliandamana katika mji mkuu, Nairobi na kubainisha uungaji mkono wao kwa Wa palestina ambao wanakabiliwa na hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Habari ID: 3473907 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/14
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Afya ya Ukanda wa Ghaza ilikuwa imetangaza kuwa, wananchi 87 wa Palestina wameshauawa shahidi kutokana na mashambulizi ya kikatili ya Wazayuni.
Habari ID: 3473905 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/13
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wazayuni makatili na wauaji hawana uhusiano na dini yoyote ile.
Habari ID: 3473903 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/12
TEHRAN (IQNA)- Marjaa mkuu wa Kishia nchini Iraq kwa mara nyingine tena ametangaza uungaji mkono wake kwa 'mapambano ya kishujaa ya taifa lenye heshima la Palestina' katika kukabiliana na Wazayuni maghasibu na kutoa wito kwa mataifa yote huru duniani kuwaunga mkono Wa palestina .
Habari ID: 3473902 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/12
TEHRAN (IQNA)- Mabalozi wa kudumu wa nchini wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) katika Umoja wa Mataifa wametangaza azma yao ya kuhamisisha jamii ya kimataifa iunge mkono taifa la Palestina ambalo linakabiliwa na hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473899 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/11
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amemwandikia barua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kumjulisha matukio na mabadiliko yanayojiri katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3473894 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/10
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya nchi za Kiarabu (Arab League) imeamua kuitisha kikao cha dharura kwa lengo la kuchukua maamuzi kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia ombi la Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
Habari ID: 3473893 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/09
TEHRAN (IQNA)- Sheikh mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri ametoa taarifa na kulaani ‘ugaidi wa Kizayuni’ baada ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel kuwahujumu Wa palestina katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds.
Habari ID: 3473892 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/09
TEHRAN (IQNA)- Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambayo pia ilikuwa Siku ya Kimataifa ya Quds ilishuhudia hujuma mpya askari wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti Mtakatifu wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3473891 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/09
TEHRAN (IQNA)- Ijumaa iliyopita tarehe 7 Mei askari wa utawala haramu wa Israel walivamia msikiti mtakatifu wa al-Asqa katika mji wa Quds (Jerusalem). na kuwapiga kikatili Wa palestina waliokuwa wanatekeleza ibada zao katika msikiti huo. Shirika la Hilali Nyekundu ya Palestina limesema Wa palestina wasiopungua 205 wamejeruhiwa katika hujuma hiyo.
Habari ID: 3473890 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/09
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa wakati Wa palestina walipokuwa katika eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3473887 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/08
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, harakati ya kuporomoka na kutoweka utawala wa Kizayuni imeanza na haitasimama; na akawahutubu Mujahidina wa Palestina kwa kuwaambia: "Endelezeni mapambano halali dhidi ya utawala ghasibu ili ulazimike kukubali kura ya maoni."
Habari ID: 3473886 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/07
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unakaribia mwisho wa uhai wake.
Habari ID: 3473885 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/07