iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani kumekwenda sambamba na kuanza duru mpya ya mivutano baina ya Wa palestina na Wazayuni huko Quds inayokaliwa kwa mabavu ambapo Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imetoa mwito wa kufanyika Intifadha ya Quds.
Habari ID: 3473852    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/26

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa kulaani hatua za kijinai walizofanyiwa hivi karibuni wananchi wa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na kusisitiza mshikamano wake na taifa tukufu la Palestina.
Habari ID: 3473844    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/24

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, Quds (Jerusalem) haitasalimu amri katika vita vya utambulisho mbele ya utawala haramu wa Israel na siasa zake za ubaguzi.
Habari ID: 3473843    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/23

TEHRAN (IQNA)- Kadhia ya wafungwa Wa palestina wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni kipaumbele kwa watu wa Palestina.
Habari ID: 3473830    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/19

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala haramu wa Israel zimetekeleza mashambulizi ya angani na nchi kavu dhidi ya eneo la Ukanda wa Ghaza mapema leo asubuhi.
Habari ID: 3473819    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/16

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukata nyaya za vipaza sauti katika Msikiti wa al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na kuzuia kuadhiniwa kwa kutumia vipaza sauti.
Habari ID: 3473816    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/15

TEHRAN (IQNA) – Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wa palestina ambao walikuwa wakiandamana katika Ukingo wa Magharibi kupinga ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473766    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/28

TEHRAN (IQNA) – Mwakilishi wa ufalme wa Bahrain katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa amejizuia kulaani ukiukaji wa haki za binadamu na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wa palestina
Habari ID: 3473761    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/25

TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umempkonya Riyadh al-Maliki, Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kibali maalumu kinachotumiwa na viongozi mashuhuru wa Palestina kuvuka mpakani, alipokuwa akirejea katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya kufanya kikao na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC iliyo na makao makuu yake mjini The Hague Uholanzi.
Habari ID: 3473753    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/22

TEHRAN (IQNA)- Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemwandikia barua Ayatullah Ali Sistani kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq kumpongeza na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuitetea na kuihami Palestina katika mkutano wake na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Habari ID: 3473733    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/14

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel haupaswi kuingilia mambo ya Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) kwa sababu Wazayuni hawana mamlaka yoyote katika eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3473731    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/13

TEHRAN (IQNA) - Mayahudi wengine 300 wa Ethiopia ambao ni maarufu kwa jina la Mafalasha wamehamia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ambazo zimepewa jina bandia la Israel.
Habari ID: 3473730    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/12

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3473722    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/10

TEHRAN (IQNA)- Mwendesha Mashtaka wa Makakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amesema kuwa mahakama hiyo imeanza uchunguzi kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na Israel dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3473702    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/04

TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) imetoa wito wa kuadhimishwa ‘Wiki ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem)’ kwa lengo la kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3473699    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/03

TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.
Habari ID: 3473687    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/27

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe hatua zake zilizoratibiwa na kubomoa nyumba za Wa palestina .
Habari ID: 3473686    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/26

TEHRAN (IQNA)- Maeneo yote ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Al Quds (Jerusalem) yatakuwa wazi kwa waumini Waislamu kwa ajili ya ibada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473681    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/25

TEHRAN (IQNA) – Kadhia ya Sudan kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel inapaswa kujadiliwa upya baada ya mabadiliko katika baraza la mawaziri, amesema mwanachama wa Baraza la Serikali ya Mpito.
Habari ID: 3473665    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/19

TEHRAN (IQNA) Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani kitendo cha utawala haramu wa Israel kuzuia dozi 2,000 za chanjo ya Corona kuwafikia wafanyakazi wa sekta ya afya katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473654    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/16