iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na harakati zingine ukombozi wa Palestina zinatafakari kuhusu kutumia nguvu kuulazimu utawala wa Kizayuni wa Israel uondoe mzingiro wake dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3474080    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/08

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amelaani vikali hatua ya Marekani kuteka tovuti za vyombo vya habari vinavyounga mkono harakati za muqwama au mapambano ya Kiislamu na Iran katika eneo.
Habari ID: 3474074    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/06

Taarifa ya Hamas
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, mashambulizi ya Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza pia hayawezi kuzima harakati za kupigania ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3474069    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/04

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewahujumu Wa palestina waliokuwa wakiandamana kwa amani dhidi ya ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Nablus ulio katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474065    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03

TEHRAN (IQNA)- Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia maeneo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza na hivyo kukiuka mapatano ya hivi karibuni ya usitishwaji vita.
Habari ID: 3474064    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/02

TEHRAN (IQNA)- Wiki kadhaa baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuua idadi kubwa ya wanawake, watoto na raia wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza, utawala huo haramu umekaribishwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na kufungua ofisi za kibalozi mjini Abu Dhabi.
Habari ID: 3474058    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/30

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wakuu wa mrengo wa muqawama wa Palestina na Lebanon wamejadili kipigo cha hivi karibuni cha Wa palestina wa Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, sanjari na kubadilishana mawazo juu ya njia zinazopaswa kufuatwa ili kupata 'ushindi mutlaki' dhidi ya utawala huo haramu.
Habari ID: 3474056    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/30

TEHRAN (IQNA)- Kuuawa shahidi mwanaharakati wa Ki palestina Nizar Banat mwenye umri wa miaka 42 na askari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kumeongeza mashinikizo dhidi ya mamlaka hiyo na mkuu wake Mahmoud Abbas, ambapo sasa Wa palestina wanataka malaka hiyo ivunjwe na Rais Mahmoud Abbas ajiuzulu.
Habari ID: 3474048    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/27

TEHRAN (IQNA)- Benjamin Netanyahu mtenda jinai ametimuliwa madarakani na kufikia tamati utawala wake wa miaka 12 katika utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474006    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/14

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, vita vya Saif al Quds (Panga la Quds) vimepelekea kuwepo umoja na mshikamano wa muqawama kote Palestina.
Habari ID: 3473999    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12

TEHRAN (IQNA)- Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema nchi yake haitalegeza msimamo wake katika kuunga mkono taifa la Palestina.
Habari ID: 3473989    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/08

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wametangaza kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina hasa baada ya hujuma ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel
Habari ID: 3473986    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/07

TEHRAN (IQNA)- Walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanalindwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel Jumatano waliuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa katiak mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3473974    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/03

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema wananchi wa Palestina wamekaribia sana kuuvunja mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza uliowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kushirikiana na Misri tokea mwaka 2007.
Habari ID: 3473968    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/01

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa ulinzi wa Iran amesema Wa palestina waliibuka ushindi hivi karibuni katika vita na utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na imani yao kwa Mwenyezi Mungu kwa Allah SWT.
Habari ID: 3473965    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31

Kamanda wa Kikosi cha QUDS cha IRGC
TEHRAN (IQNA) - Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema wakati umefika kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuanza kutafakari kuondoka katika ardhi za Palestina unaozikalia kwa mabavu haraka iwezekanavyo.
Habari ID: 3473962    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/30

Balozi Salah al Zawawi
TEHRAN (IQNA)-Balozi wa Palestina nchini Iran amesema kuwa, vita vya siku 12 vilivyomalizika hivi karibuni baina ya utawala wa Kizayuni na wanamapambano wa Palestina, vimefungua mlango wa kuangamizwa kikamilifu Israel.
Habari ID: 3473961    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/30

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumapili ataitembelea Misri kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa usalama nchi hiyo kuhusu mapatano yaliyofikishwa ya usitishwaji vita Ghaza.
Habari ID: 3473960    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29

TEHRAN (IQNA)- Sala ya Ijumaa imeswaliwa jana katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) ambapo inakadiriwa kuwa Wa palestina 40,000 walishiriki katika sala hiyo.
Habari ID: 3473959    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Masuala ya Kidini Malaysia Zulkifli Mohammad al Bakri amesema nchi yake inalenga kuanzisha mfuko maalumu wa kifedha maalumu kwa lengo la kuwasaidia Wa palestina .
Habari ID: 3473958    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29