iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya wananchi wa Jordan wameandamana wakilalamikia mpango wa serikali ya nchi hiyo kutiai saini mapatano mapya na utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
Habari ID: 3474606    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/27

TEHRAN (IQNA)- Australia imelaaniwa vikali kufuatia hatua yake ya kutangaza chama cha Hizbullah cha Lebanon kuwa eti ni harakati ya kigaidi.
Habari ID: 3474599    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25

TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umeidhinisha ujenzi haramu wa nyumba 3000 za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wa palestina zilizoghusubiwa na kukoloniwa na utawala huo katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem)
Habari ID: 3474597    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25

TEHRAN (IQNA)- Katika kuendeleza siasa zake dhidi ya taifa la Palestina na kuunga mkono utawala haramu wa Israel, Uingereza imetuhumu na kuitangaza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Paletina Hamas kuwa ni kundi la kigaidi.
Habari ID: 3474590    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23

TEHRAN (IQNA)- Arsenal ambayo ni Timu maarufu ya Ligi Kuu ya Soka Uingereza (EPL) itamtimua mchezaji Muislamu Mohamed Elneny kutokana na misimamo yake ya kuunga mkono ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3474586    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21

TEHRAN (IQNA)- Taasisi moja ya Haki za Binadamu imeripoti kuwa utawala ghasibu wa Israel umewauwa watoto wa Ki palestina 77 tangu kuanza mwaka huu wa 2021 hadi sasa.
Habari ID: 3474585    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21

TEHRAN (IQNA)- Sekretarieti ya Kudumu ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina Katika Bunge la Iran imelaani vikali hatua ya serikali ya Uingereza ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika orodha ya makundi ya kigaidi.
Habari ID: 3474583    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeipongeza Algeria kwa kupinga uanzishwaji uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474549    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya hivi karibuni ya Algeria kupinga utawala haramu wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
Habari ID: 3474548    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya watoto Wa palestina yameanza Jumatano katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3474543    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11

TEHRAN (IQNA)- Abdulatif al-Qanua, msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu wa Palestina HAMAS ametahadharisha kuwa, hali mbaya ya mazingira yasiyo ya kibinadamu wanayoishi mateka Wa palestina , ambao wanashikiliwa kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni, yatakuwa cheche itakayowasha moto wa mapigano ya kukabiliana na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474538    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10

TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Jumanne ilipasisha maazimio sita dhidi ya utawala haramu wa Israel licha ya upinzani mkali wa wawakilishi wa Marekani, Canada na Israel.
Habari ID: 3474537    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa msikiti wa Wa palestina katika mji wa Duma, kusini mwa eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474520    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05

TEHRAN (IQNA)- Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3474510    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03

TEHRAN (IQNA)- Walowezi za Kizayuni wameendeleza hujuma zao dhidi ya msikiti wa Al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474499    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Ulaya (EU) umekariri wito wake kwa utawala haramu wa Israel usitishe mpango wake wa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474486    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29

TEHRAN (IQNA)- Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yameuonya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na kuendelea uvamizi na hujuma dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiiislamu huko Palestina hususan maziara makaburi ya al-Yusufiya huko Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474480    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakamata Wa palestina zaidi ya 1,280 katika kipindi cha miezi mitati iliyopita.
Habari ID: 3474471    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/25

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza tamko la Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia ambaye amesema nchi yake katu haitaanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474451    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza kuwa nchi hiyo inapinga utawala wa Kizayuni wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
Habari ID: 3474424    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15