iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mateka Wa palestina wameteketeza moto jela mbili za utawala wa Kizayuni wa Israel wanakoshikiliwa kulalamikia hali mbaya katika vizuizi hivyo vya kuogofya.
Habari ID: 3474276    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09

TEHRAN (IQNA)- Makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yametahadharisha kwamba, hali ya Ukanda wa Gaza inakaribia kuripuka na yameupa utawala wa Israel siku 15 kuruhusu bidhaa muhimu kwa ajili ya raia wa Palestina katika eneo hilo.
Habari ID: 3474274    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/08

TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina ,kwa kifupi Hamas, katika mji wa Quds Tukufu ametoa mwito kwa Wa palestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al-Aqsa ili kuuhami na kuulinda dhidi ya uvamizi wa Walowezi wa Kizayuni, wakati wa sherehe na matambiko yao.
Habari ID: 3474263    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/06

Kiongozi wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Wa palestina na harakati zao za muqawama au mapambano.
Habari ID: 3474259    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/05

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema ufalme wa Bahrain kweli umeonyesha kuhusika kwake katika jinai zinazofanywa na utawala wa haramu wa Israeli dhidi ya Wa palestina kwa kumteua balozi wake wa kwanza kuhudumu katika utawala wa Israel.
Habari ID: 3474250    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/02

TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya kuwasiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia.
Habari ID: 3474249    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/02

TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala dhalimu wa Israel wamemuua shahidi kijana wa Palestina kwa kumpiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474246    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01

TEHRAN (IQNA) – Tangu mwanzo wa mwaka huu wa 2021, Utawala wa Kizayuni wa Israeli umewakamata Wa palestina wasiopungua 1,900, pamoja na idadi kubwa ya watoto, kote mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474241    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/30

TEHRAN (IQNA)- Ndege za kivita zisizo na rubani za utawala wa Kizayuni wa Israeli zimetekeleza mashambulio ya angani kati mwa Ukanda wa Gaza
Habari ID: 3474236    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/29

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza udharura wa kuendeleza mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kutumia suhula na nyenzo zote.
Habari ID: 3474228    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/26

TEHRAN (IQNA)-Kumekuwa na ongezeko la asilimia 60 ya idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaouhujumi uwanja wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), unaokaliwa kwa mabavu katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474225    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25

TEHRAN (IQNA)- Jumamosi usiku, ndege za kivita za utawala Israel zilishambulia kwa mabomu maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza ambapo Wa palestina wapatao 41 wamejeruhiwa, wawili wao wakiwa na majeraha makali.
Habari ID: 3474215    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/22

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa mwito kwa Wa palestina kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya kukumbuka tukio chungu la kuteketezwa moto msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel.
Habari ID: 3474210    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/20

TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala haramu wa Israel wamewaua shahidi vijana wanne Wa palestina kwa kuwapiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474195    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/16

TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amebainisha wasiwasi wake juu ya kampeni ya utawala wa Israeli ya kuwakamata, kuwatesa na kuwakandamiza watetezi wa haki za binadamu wa Palestina kote Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474187    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/13

TEHRAN (IQNA)- Katika safari yake ya kwanza nchini Morocco tangu nchi hiyo ya Kiafrika ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala huo ghasibu amefungua rasmi ofisi za ubalozi wa utawala huo mjini Rabat.
Habari ID: 3474185    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/13

TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel nchini Morocco na kubainisha kuwa, ziara hiyo haikubaliki.
Habari ID: 3474182    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/12

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali kikao cha wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Harakati ya Ukombozi ya Palestina (PLO), mawaziri na maafisa wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na viongozi wa utawala haramu wa Israel chenye lengo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474168    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07

TEHRAN (IQNA) - Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na walowezi wa Kizayuni walikiuka haki za Wa palestina katika zaidi ya mara 3,800 mwezi Julai katika katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mjini al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474162    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/05

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameitaka Saudi Arabia iwaachilie huru mahabusu wote Wa palestina inaowashikilia na kufunga faili lao.
Habari ID: 3474161    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/05