iqna

IQNA

saudi
TEHRAN (IQNA)- Iran imetangaza kuwa tayari kuwatuma wananchi wake kuenda Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Umrah iwapo masharti yatatimizwa.
Habari ID: 3474826    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Urais Mkuu wa Maswala ya Misikiti Miwili Mitakatifu amewaamuru wahusika wenye uwezo kukamilisha maandalizi ya kuwapokea waumini wanaotaka kutekeleza Ibada ya Umrah.
Habari ID: 3474126    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel sasa utatimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuuteka mji mtakatifu wa Makka kupitia msaada wa Muhammad bin Salman, mrithi mpya wa kiti cha ufalme nchini humo.
Habari ID: 3471048    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/03

Khatibu wa Sala ya Idul Adha Tehran
Khatibu wa Sala ya Idul Adha Tehran amesema watenda jinai katika ukoo wa Aal Saud wanapaswa kufikishwa mbele ya mahakama ya Kiislamu na kuadhibiwa kutokana na maafa ya Mina katika ibada ya Hija mwaka jana.
Habari ID: 3470560    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/12

Kufichuka nyaraka mpya Saudia
Kumefichuka nyaraka mpya kutoka Wizara ya Afya ya Saudi Arabia kuwa zaidi ya mahujaji 7,000 walipoteza maisha katika maafa ya Mina.
Habari ID: 3391296    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21

Wafanyaziara wasiopungua 107 wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na kreni au winchi katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia.
Habari ID: 3361271    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/11

Ripoti Maalumu ya IQNA
Sambamba na kuanza hujuma ya hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, kumeshuhudiwa kuongezeka kwa kasi chuki dhidi ya Ushia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika.
Habari ID: 3315877    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/18

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hujuma ya kinyama ya Saudi Arabia katika jirani ya Yemen ni kosa la kistratejia.
Habari ID: 3277848    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/10

Mamilioni ya wananchi Waislamu wa Iran wameandamana kote nchini baada ya Sala ya Ijumaa kulaani jinai za utawala wa Saudia dhidi ya watu wa Yemen. Wananchi katika miji mikubwa kama vile Tehran, Qom, Mashhad na miji mingine 770 kote nchini.
Habari ID: 3276822    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/09

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kusitisha hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3269138    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/07

Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Saudi Arabia haijafikia malengo yake katika uvamizi wa kijeshi ilioanzisha huko Yemen.
Habari ID: 3262998    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/06

Vikosi vya usalama nchini Saudi Arabia vimezishambulia nyumba kadhaa za jamii ya Waislamu wa Kishia katika mji wa Awamiya katika mkoa wa Qatif wakati huu ambapo utawala wa Saudi Arabia umezidisha vitendo vyake vya ukandamizaji dhidi ya wapinzani nchini humo.
Habari ID: 2699769    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/12