gavana

IQNA

IQNA: Daktari mwenye umri wa miaka 32 anatarajia kuwa Mwislamu kwa kwanza gavana nchini Marekani baada ya kutangaza nia ya kugombea ugavana wa jimbo la Michigan.
Habari ID: 3470875   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03

Wanaowania kugombea ugavana na unaibu gavana katika jimbo la Aceh nchini Indonesia wametahiniwa kuhusu uwezo wao wa kusoma Qur'ani kama sharti la kushiriki uchaguzi wa 2017.
Habari ID: 3470590   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/01