iqna

IQNA

boko haram
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram wameuawa Waislamu 5,247 katika jimbo la Adamawa nchini Nigeria kati ya mwaka 2013 na 2017, ripoti ya shirika moja la Kiislamu imefichua.
Habari ID: 3471341    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/03

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 50 wameuawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3471273    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/21

TEHRAN (IQNA)-Itikadi ya Uwahhabi imetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la ugaidi na chuki dhidi ya Uislamu Nigeria.
Habari ID: 3471240    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/31

TEHRAN (IQNA)-Waislamu wameuawa wameuawa baada ya gaidi kujilipua ndani ya msikiti kaskaini mwa Cameroon, ambapo maafisa wa usalama wanashuku kundi la kigaidi la Boko Haram limehusika na hujuma hiyo.
Habari ID: 3471172    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/14

Askofu Mkuu nchini Nigeria
TEHRAN (IQNA)-Askofu Mkuu wa Nigeria amesisitiza udharura wa kufanyika mazungumzo kati ya wafuasi wa dini za mbinguni na kusema kuwa, ni muhimu sana kuzitofautisha na dini ya Uislamu fikra za kigaidi kama zile za kundi la Boko Haram.
Habari ID: 3470908    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/26

Baada ya kundi la kigaidi la ISIS kutangaza kuteua kinara mpya wa kundi la kigaidi la Boko Haram, kumeibuka hitilafu huku kinara wa muda mrefu wa Boko Haram akipinga uteuzi huo.
Habari ID: 3470495    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/05

Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewaua watu 22 waliokuwa wakisali katika msikiti mmoja jimboni la Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470201    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/16