iqna

IQNA

dini
TEHRAN (IQNA) – Lengo la harakati ya Imam Hussein (AS) lilikuwa ni kuonyesha kwa jamii kwamba kuna mtazamo mzuri zaidi kwa dini na kile ambacho watawala wa Bani Umayya wanafanya kwa jina la dini si sahihi.
Habari ID: 3477592    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/13

Qur'ani Tukufu inasemaje / 20
TEHRAN (IQNA) - Mhadhiri mmoja wa Kiislamu ameashiria aya kadhaa za Qur’ani, ili kubainisha kwamba Qur’ani Tukufu imeweka msingi wa kuanzisha mahusiano na mazungumzo.
Habari ID: 3475556    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/30

Kikao cha Kazakhstan chabaini
TEHRAN (IQNA)- Washiriki wa kikao kimoja cha ki dini nchini Kazakhstan wametaja chuki dhidi ya Uislamu kuwa moja ya vizingiti vikubwa katika kufikiwa amani duniani.
Habari ID: 3474401    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09

TEHRAN (IQNA)- Kozi ya mafunzo ya ki dini imeandaliwa kwa pamoja baina ya Chuo Kikuu cha Dini na Madhehebu cha Iran kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Ujerumani cha Paderborn.
Habari ID: 3474178    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/10

TEHRAN (IQNA)-Mtafiti mmoja nchini Misri amesema mkataba aliofunga Bwana Mtume Muhammad SAW na Wakristo ni hati ya kwanza kuhusiana na kuheshimu dini tofauti duniani.
Habari ID: 3471196    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/28

IQNA-Warsha ya pili ya kieneo ya mazungumzo baina ya dini imefanyika nchini Zimbabwe kwa himaya ya Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini humo.
Habari ID: 3470631    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/23

Tehran (IQNA) - Waandalizi wa ‘Siku ya Hijabu Duniani’ wanatazamia Waislamu na wasiokuwa Waislamu wanatazamiwa kushiriki katika maadhimisho ya siku hiyo Februari 1 mwaka huu wa 2015.
Habari ID: 2790522    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31